Wewe acha ujinga pia, taarifa yako inaonyesha idadai ya wafanyakazi a.k.a vibarua acha kujichetua wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha ujinga pia, taarifa yako inaonyesha idadai ya wafanyakazi a.k.a vibarua acha kujichetua wewe.
Binafsi nastaajabu kuona shinynga wamewazid utajir [emoji23][emoji23].Ambacho najiuliza ni inakuaje arusha peke yake inakusanya zaidi ya mikoa yote ya kanda ya ziwa ukiichanganya??? Hivi hii mikoa iko serious kweliView attachment 2530961
Em kuwa serious bas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ulaya ndo pako hiv au ulaya ya taboraSasa hapa sio ulaya hapa ni arusha....
Na hilo jengo floors 7 zilizojitenga ni mall ya kimataifa alafu arusha wala haturingi vitu vya kawaida sana[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2531029
Wanakuja sasa hivi kutoa povu kwa hii comment [emoji3][emoji3]Hauna akili wewe binti [emoji1787] mwanza ndio mkoa wenye mabus mengi nje ya dar imagine stand mbili kubwa zote zimejaa mabus
Mwanza tuna
Benzi la bei mbaya analo Phoenix na nyehunge
Polo g7
Golden dragon
Yungtong
Zhongton
Sun long
King long
Asia star nk
Usisahau Kanda ya ziwa ndio inayo ongoza kua na matajiri wengi wa mabus nchii hiii[emoji1787]
Unachokitafuta utakipata. Ngoja waje na picha za mabus [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hauna akili wewe binti [emoji1787] mwanza ndio mkoa wenye mabus mengi nje ya dar imagine stand mbili kubwa zote zimejaa mabus
Mwanza tuna
Benzi la bei mbaya analo Phoenix na nyehunge
Polo g7
Golden dragon
Yungtong
Zhongton
Sun long
King long
Asia star nk
Usisahau Kanda ya ziwa ndio inayo ongoza kua na matajiri wengi wa mabus nchii hiii[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3]Unachokitafuta utakipata. Ngoja waje na picha za mabus [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna muarusha mwenye uwezo wa kubattle na mimiUnachokitafuta utakipata. Ngoja waje na picha za mabus [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kubishana na ZWAZWA ni kupoteza mate mdomoni AIM ware house si ya juzi tu au hata akili huna tunahangaika na kibaka.Washamba mmepigwa kwenye mshono 🤣🤣🤣 mmeanza kuona mall juzi tena moja tu ndio mje mjilinganishe na arusha kweli? 🤣 Shamba city boys bana.
Benz la Gharama analo Zuberi ile Mercedes Benz Neo Bus N10 New Road T 910 DNH lakini zile za Phoenix NI Bharat Benz za Kihindi Ni Gari za bei ndogo sana hata kwa kina Yutong hazioni ndaniHauna akili wewe binti [emoji1787] mwanza ndio mkoa wenye mabus mengi nje ya dar imagine stand mbili kubwa zote zimejaa mabus
Mwanza tuna
Benzi la bei mbaya analo Phoenix na nyehunge
Polo g7
Golden dragon
Yungtong
Zhongton
Sun long
King long
Asia star nk
Usisahau Kanda ya ziwa ndio inayo ongoza kua na matajiri wengi wa mabus nchii hiii[emoji1787]
Mabasi mazuri yote hayatumii hio stand yanatumia ofisi za Makao Mapya na Golden RoseMabasi yanayofika hapo class yake mwanza hamna. Alafu who cares about stand yani? Tatizo watu wa mwanza wanataka stand ili wakapige picha, wakashinde hapo siku nzima, yani ushamba ushamba tu.
Shoprite ilikuwa ya babaako.Kubishana na ZWAZWA ni kupoteza mate mdomoni AIM ware house si ya juzi tu au hata akili huna tunahangaika na kibaka.
Iko wap hyo ShopRite,,,hiyo ilikuwa supermarket kama nonoShoprite ilikuwa ya babaako.
Yap lile benzi la zuberi Tajiri wa kisesa nmechanya na Ferrari [emoji2]Benz la Gharama analo Zuberi ile Mercedes Benz Neo Bus N10 New Road T 910 DNH lakini zile za Phoenix NI Bharat Benz za Kihindi Ni Gari za bei ndogo sana hata kwa kina Yutong hazioni ndani
Pia Polo G7 za Gharama anazo Katarama ambazo ni EBR lakini za Zuberi Pia ambazo zenyewe zimefanyiwa matengenezo hapa hapa Bongo (zilikua Dar Lux)
Embu niache kwanza nipambane na uchovu wa kili marathon. Kuna vitu vingi sana hamjui mwanza.
[emoji3][emoji3]kwamba marathon nazo kwako ndo ujanjaEmbu niache kwanza nipambane na uchovu wa kili marathon. Kuna vitu vingi sana hamjui mwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaona ni kitu cha kusema humu[emoji3][emoji3]kwamba marathon nazo kwako ndo ujanja
Ilikuwa ya nyokoShoprite ilikuwa ya babaako.
Anajitoa ufahamu
Umechoshwa na mizigo ya wazunguEmbu niache kwanza nipambane na uchovu wa kili marathon. Kuna vitu vingi sana hamjui mwanza.