Wewe ni utingo wa bus gani..?hatari sanaHauna akili wewe binti [emoji1787] mwanza ndio mkoa wenye mabus mengi nje ya dar imagine stand mbili kubwa zote zimejaa mabus
Mwanza tuna
Benzi la bei mbaya analo Phoenix na nyehunge
Polo g7
Golden dragon
Yungtong
Zhongton
Sun long
King long
Asia star nk
Usisahau Kanda ya ziwa ndio inayo ongoza kua na matajiri wengi wa mabus nchii hiii[emoji1787]
Without international flights
Good for YouWithout international flights View attachment 2531871
[emoji1787][emoji1787] we jamaaa ni mpuuzi tu,kwenye hio list nimesahau Higer na bus la bei mbaya irizar.
Umenizidi nn tuanze na kimoja kimoja[emoji1787][emoji1787] we jamaaa ni mpuuzi tu,kwenye hio list nimesahau Higer na bus la bei mbaya irizar.
Ukiachana na mabus najua hadi na mitaa ya ulaya kama kama River seine,rue de rivoli,avenue montaigne,carnaby,brick lane,downing,savile row,strand na bywater
Nimeshakwambia nakuzidi kila kitu wewe bado unatoa macho[emoji1787]
K-1
Ww ni maniac, unaridhika na v2 petty
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio k-1 umeielewa lakini? Wewe jamaaa ni mpuuzi sanaWw ni maniac, unaridhika na v2 petty
You dont know Me, I don't know You either...
Let's concentrate on the Battle,leave asides personal issues...
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
We ni mweu kaka. Dubai inavoaccomodate watu wakubwa dunian inamaanisha inazizidi uchumi au utajir china , Luxembourg au JapanMji ambao unaweza ku accomodate marais wa dunia, matajiri wa dunia Arusha, usifananishwe na takataka mwanza please.
Umetoa mfano wa kijinga sana apaWe ni mweu kaka. Dubai inavoaccomodate watu wakubwa dunian inamaanisha inazizidi uchumi au utajir china , Luxembourg au Japan
Alafu muulize uyo zwazwa wa ziwani hiyo China [emoji630] haiaccomodate marais??Umetoa mfano wa kijinga sana apa
Unajua kwamba Dubai ni jiji na Japan ni nchi?Luxembourg ni nchi?
Toa mfano wa jiji kwa jiji ama nchi kwa nchi Acha uzembe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa kila siku nakushusha vyeo ujuaji mwingi kumbe ziroUmetoa mfano wa kijinga sana apa
Unajua kwamba Dubai ni jiji na Japan ni nchi?Luxembourg ni nchi?
Toa mfano wa jiji kwa jiji ama nchi kwa nchi Acha uzembe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Arusha Ni Lin imeaccomodate maraisi wakubwa ana wakalala hapo (usinambie kina mseven maana hata chato walienda [emoji28]... maneno yaende na ushahidi,,usinambie Ile kupita ,,kulalaUmetoa mfano wa kijinga sana apa
Unajua kwamba Dubai ni jiji na Japan ni nchi?Luxembourg ni nchi?
Toa mfano wa jiji kwa jiji ama nchi kwa nchi Acha uzembe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa nyie ndio mazwazwa wa ziwani mnaofanyaga kila siku wasukuma mdharaulike[emoji1787][emoji1787]Arusha Ni Lin imeaccomodate maraisi wakubwa ana wakalala hapo (usinambie kina mseven maana hata chato walienda [emoji28]... maneno yaende na ushahidi,,usinambie Ile kupita ,,kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sijui kwann ulikimbia shule,uko hapa kusumbua tu Huna point yyte[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa kila siku nakushusha vyeo ujuaji mwingi kumbe ziro
Alienda arusha kama Wang Yi wa china alivoenda chato ,,,,,,,John Paul raisi wa Vatican alienda mwanza 2005 ,..kwenda ni tofauti na kulala ,,,,acha ushamba,,,,,,nipe ushahidi kwamba bush alilala arushaSasa nyie ndio mazwazwa wa ziwani mnaofanyaga kila siku wasukuma mdharaulike[emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo wewe hujui kama Bush alienda arusha??
Hujui kuwa jina la Geneva of Africa [emoji288] lilitolewa na Clinton wa marekani
Akili zenu mnafkirisha sana nyie[emoji848]
Kila siku nakwambia wewe ni jinga jobless la mwishoWewe sijui kwann ulikimbia shule,uko hapa kusumbua tu Huna point yyte
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nyie ni watu wa kijijini sijui mnaishi Magu huko ndani ndani mkadhani kwakua Wakubwa hawajafika Huko basi sehemu zingine pia hawajafikaArusha Ni Lin imeaccomodate maraisi wakubwa ana wakalala hapo (usinambie kina mseven maana hata chato walienda [emoji28]... maneno yaende na ushahidi,,usinambie Ile kupita ,,kulala
Sent using Jamii Forums mobile app