Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hauna akili wewe binti [emoji1787] mwanza ndio mkoa wenye mabus mengi nje ya dar imagine stand mbili kubwa zote zimejaa mabus
Mwanza tuna
Benzi la bei mbaya analo Phoenix na nyehunge
Polo g7
Golden dragon
Yungtong
Zhongton
Sun long
King long
Asia star nk

Usisahau Kanda ya ziwa ndio inayo ongoza kua na matajiri wengi wa mabus nchii hiii[emoji1787]
Wewe ni utingo wa bus gani..?hatari sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Without international flights
IMG-20230227-WA0012.jpg
 
Wewe ni utingo wa bus gani..?hatari sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] we jamaaa ni mpuuzi tu,kwenye hio list nimesahau Higer na bus la bei mbaya irizar.

Ukiachana na mabus najua hadi na mitaa ya ulaya kama kama River seine,rue de rivoli,avenue montaigne,carnaby,brick lane,downing,savile row,strand na bywater

Nimeshakwambia nakuzidi kila kitu wewe bado unatoa macho[emoji1787]
 
Umenizidi nn tuanze na kimoja kimoja

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mji ambao unaweza ku accomodate marais wa dunia, matajiri wa dunia Arusha, usifananishwe na takataka mwanza please.
 
Nimeshangaa kuona vijana kutoka jiji la watalii arusha hawajui maana ya k1 [emoji1787][emoji1787] bado wanajiita wajanja
 
We ni mweu kaka. Dubai inavoaccomodate watu wakubwa dunian inamaanisha inazizidi uchumi au utajir china , Luxembourg au Japan
Umetoa mfano wa kijinga sana apa
Unajua kwamba Dubai ni jiji na Japan ni nchi?Luxembourg ni nchi?
Toa mfano wa jiji kwa jiji ama nchi kwa nchi Acha uzembe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Umetoa mfano wa kijinga sana apa
Unajua kwamba Dubai ni jiji na Japan ni nchi?Luxembourg ni nchi?
Toa mfano wa jiji kwa jiji ama nchi kwa nchi Acha uzembe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Arusha Ni Lin imeaccomodate maraisi wakubwa ana wakalala hapo (usinambie kina mseven maana hata chato walienda [emoji28]... maneno yaende na ushahidi,,usinambie Ile kupita ,,kulala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nyie ndio mazwazwa wa ziwani mnaofanyaga kila siku wasukuma mdharaulike[emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo wewe hujui kama Bush alienda arusha??
Hujui kuwa jina la Geneva of Africa [emoji288] lilitolewa na Clinton wa marekani
Akili zenu mnafkirisha sana nyie[emoji848]
 
Alienda arusha kama Wang Yi wa china alivoenda chato ,,,,,,,John Paul raisi wa Vatican alienda mwanza 2005 ,..kwenda ni tofauti na kulala ,,,,acha ushamba,,,,,,nipe ushahidi kwamba bush alilala arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha Ni Lin imeaccomodate maraisi wakubwa ana wakalala hapo (usinambie kina mseven maana hata chato walienda [emoji28]... maneno yaende na ushahidi,,usinambie Ile kupita ,,kulala

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni watu wa kijijini sijui mnaishi Magu huko ndani ndani mkadhani kwakua Wakubwa hawajafika Huko basi sehemu zingine pia hawajafika
Screenshot_20230227_223436_Chrome.jpg

Back
Top Bottom