Kwa hyo hapo imeonyesha alilala arusha au [emoji28]...si alipita kama ziara tu Tena Kwa ajili ya mgogoro wa Burundi [emoji28][emoji28]Nyie ni watu wa kijijini sijui mnaishi Magu huko ndani ndani mkadhani kwakua Wakubwa hawajafika Huko basi sehemu zingine pia hawajafikaView attachment 2532109
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nyie watu ifike wakati mjiheshimu kidogoKwa hyo hapo imeonyesha alilala arusha au [emoji28]...si alipita kama ziara tu Tena Kwa ajili ya mgogoro wa Burundi [emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashoboka na marekani na wakati hauna hata ndugu uko[emoji1787] nimekuchallnge kidogo tu umerusha maviNyie ni watu wa kijijini sijui mnaishi Magu huko ndani ndani mkadhani kwakua Wakubwa hawajafika Huko basi sehemu zingine pia hawajafikaView attachment 2532109
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mbona tuna uthibitisho kuwa xinjiping alilala dar ,, mbona proof ipo Obama alilala hyatt regency pamoja na escort yake ,,,sasa wew unashindwaje kuleta proof bush na Clinton walilala arusha kibo palace au mount Meru [emoji28][emoji28].....au ndo walipita na helicopter kama walivyopita kule mukono Uganda mwaka 1998 [emoji4][emoji28][emoji28]Nyie watu ifike wakati mjiheshimu kidogo
Unataka uthibitisho kua alilala?huo sasa utoto
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wanaona aibu kijiji chao cha wavuvi hakuna aliyewah hata kutembelea....sasa hivi wanataka picha za chumbani [emoji3][emoji3][emoji3]Nyie watu ifike wakati mjiheshimu kidogo
Unataka uthibitisho kua alilala?huo sasa utoto
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]LiTuusan halipendwi kila sehemu[emoji1787][emoji1787] View attachment 2532137
Sawa lakini Mwanza pameendelea kuliko ArushaWanaona aibu kijiji chao cha wavuvi hakuna aliyewah hata kutembelea....sasa hivi wanataka picha za chumbani [emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa watu akili zao haziko sawa
Maendeleo ya samaki au[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa lakini Mwanza pameendelea kuliko Arusha
Maneno matupu hayalambwi [emoji28]Wanaona aibu kijiji chao cha wavuvi hakuna aliyewah hata kutembelea....sasa hivi wanataka picha za chumbani [emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa watu akili zao haziko sawa
Supermarket anaita mall halafu anajiita mjanja.
I mean UEA. Ata kwa city dubai haisogelei tokyo though ni sehem inaaccomodate watu wakubwa dunia.Umetoa mfano wa kijinga sana apa
Unajua kwamba Dubai ni jiji na Japan ni nchi?Luxembourg ni nchi?
Toa mfano wa jiji kwa jiji ama nchi kwa nchi Acha uzembe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu hapa tunatania tu don't take it that serious [emoji3][emoji3]I mean UEA. Ata kwa city dubai haisogelei tokyo though ni sehem inaaccomodate watu wakubwa dunia.
Huyo ndugu yako anadhan hao watu wakubwa wanaenda arusha kupaona njiro , unga LIMITED au ni wameinvest hapo wanakuja kuangalia biashara zao. Wapo hapo sabab serikali imeifany kuwa centre ya utalii.Inabid mshukur sana serikali na sera zake kweny sekta ya utalii sio kilimo, madini hamuisogelei mwanza kidogo ufugaji.
Nyie ni kama DODOMA kaka bila serikali hamtoboi.
Siko serious kaka. Kawaida kutambianaMkuu hapa tunatania tu don't take it that serious [emoji3][emoji3]
Yote nchi yetu hii
Maendeleo ya mawe[emoji3][emoji3]Sawa lakini Mwanza pameendelea kuliko Arusha
Safi [emoji122] [emoji122] [emoji122]Siko serious kaka. Kawaida kutambiana
Hii ndama Hainaga evidence kazi yake ni kusifia tu.Mji ambao unaweza ku accomodate marais wa dunia, matajiri wa dunia Arusha, usifananishwe na takataka mwanza please.
Usimwite kaka, sifa za upendeleo hatuzihitaji bro. Huyu mtu mwite lofa.We ni mweu kaka. Dubai inavoaccomodate watu wakubwa dunian inamaanisha inazizidi uchumi au utajir china , Luxembourg au Japan
kalala na wewe basi, ili tumalize huu ujinga.Nyie watu ifike wakati mjiheshimu kidogo
Unataka uthibitisho kua alilala?huo sasa utoto
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app