Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nyie ni watu wa kijijini sijui mnaishi Magu huko ndani ndani mkadhani kwakua Wakubwa hawajafika Huko basi sehemu zingine pia hawajafikaView attachment 2532109

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unashoboka na marekani na wakati hauna hata ndugu uko[emoji1787] nimekuchallnge kidogo tu umerusha mavi

K-1 ni aina ya visa ya huko huko USA kwa wale tuliowahi kua na pisi uko[emoji867]

Wewe f
 
Nyie watu ifike wakati mjiheshimu kidogo
Unataka uthibitisho kua alilala?huo sasa utoto

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mbona tuna uthibitisho kuwa xinjiping alilala dar ,, mbona proof ipo Obama alilala hyatt regency pamoja na escort yake ,,,sasa wew unashindwaje kuleta proof bush na Clinton walilala arusha kibo palace au mount Meru [emoji28][emoji28].....au ndo walipita na helicopter kama walivyopita kule mukono Uganda mwaka 1998 [emoji4][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LiTuusan halipendwi kila sehemu[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230227-231254.jpg
 
Nyie watu ifike wakati mjiheshimu kidogo
Unataka uthibitisho kua alilala?huo sasa utoto

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wanaona aibu kijiji chao cha wavuvi hakuna aliyewah hata kutembelea....sasa hivi wanataka picha za chumbani [emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa watu akili zao haziko sawa
 
Sawa lakini Mwanza pameendelea kuliko Arusha
 
Umetoa mfano wa kijinga sana apa
Unajua kwamba Dubai ni jiji na Japan ni nchi?Luxembourg ni nchi?
Toa mfano wa jiji kwa jiji ama nchi kwa nchi Acha uzembe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
I mean UEA. Ata kwa city dubai haisogelei tokyo though ni sehem inaaccomodate watu wakubwa dunia.

Huyo ndugu yako anadhan hao watu wakubwa wanaenda arusha kupaona njiro , unga LIMITED au ni wameinvest hapo wanakuja kuangalia biashara zao. Wapo hapo sabab serikali imeifany kuwa centre ya utalii.Inabid mshukur sana serikali na sera zake kweny sekta ya utalii sio kilimo, madini hamuisogelei mwanza kidogo ufugaji.

Nyie ni kama DODOMA kaka bila serikali hamtoboi.
 
Mkuu hapa tunatania tu don't take it that serious [emoji3][emoji3]
Yote nchi yetu hii
 
Back
Top Bottom