Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Interest. Hatufati mkumbo, ata aina ya muziki tunaosikiliza ni tofauti.
USHAMBA huo hamuendani na Radha ya mziki wa kisasa. Mavazi yenyewe mnayovaa club plus viatu na style yenu ya uchezaji mnavyobinua mitako basi mnajikuta wajanja. Watu wa kale nyie....
 
USHAMBA huo hamuendani na Radha ya mziki wa kisasa. Mavazi yenyewe mnayovaa club plus viatu na style yenu ya uchezaji mnavyobinua mitako basi mnajikuta wajanja. Watu wa kale nyie....
Watu wa zaman kweny karne ya 21 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Arusha ukisimuliwa unaweza hisi ni tokyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila arusha ni [emoji95][emoji95] vijana wa arusha hapa ni wapi
 
Marais wote wakubwa wamelala arusha[emoji3] hapa sijui analala nani?

Hii nyumba itakua ya kitalii next time akija Biden afikie hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] arusha imechoka imechakaa imepauka
 

Attachments

  • Screenshot_20230303-005511~2.png
    234 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230303-004907~2.png
    258 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230303-004029~2.png
    237.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230303-003900~2.png
    149.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230303-003743~2.png
    197.3 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…