nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 694
- 1,104
Itachukua Muda sana kumwaminisha mwanangu kuwa Nyakato na CBD ya Chuga vina muonekano almost sawa [emoji28]Arusha vs Nyakato Mwanza na hapa nyakato haionekani yote[emoji1787][emoji1787]
Nyakato ni kata ipo km 7 kutoka CDBView attachment 2534602View attachment 2534605