Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unaulizia katambi aliyekubebesha mimba, leta evidence shusha picha maneno mengi ni ujinga na kukosa akili.
Sasa mbona mukizidiwa minaishia kutukana. Eti kwanini waskuma wakija Town hawataki kurudi kwao shamba?
 
Sasa mbona mukizidiwa minaishia kutukana. Eti kwanini waskuma wakija Town hawataki kurudi kwao shamba?
Tunawaonea huruma wanajikutakuta yani. Wangejua tuna vitu, na mdomo na matusi ndio balaa zaidi. Chezea watoto wa town. Yani hao mwanza kila kitu kwao ni kigeni ndio maana kutwa picha, mi nawawekeaga moja kwa kubeep ila kila nikiweka wanapoteana🀣🀣 wazungu wanasema dumbstruck. Kwa akili yao wanadhani kuna mtu nje ya mwanza anapaona pa kijanja. Wajipe moyo na wakithubutu natoa makombora, kuna kizebwere kimeweka picha za Freetown, Sierra Leone kakadhani sisi washamba wenzao hatuijui mwanza.
 
Vitu gani bana. Zaid ya ofis za tourism company mnanin cha ziad au [emoji116]
 
Wakagundue nini labda? [emoji1787][emoji1787]
Tunakuja kupinga juhudi. Wenyew wanakwambia tourist destination. Nearest city to serengeti national park unaenda ata kwa miguu [emoji23].

Soon cake ya utalii itagawanwa ndo mtajua hamjui.
 
Tunakuja kupinga juhudi. Wenyew wanakwambia tourist destination. Nearest city to serengeti national park unaenda ata kwa miguu [emoji23].

Soon cake ya utalii itagawanwa ndo mtajua hamjui. View attachment 2538943
Unatia huruma sana. Hivi unajua tourism industry ya bongo jinsi ilivyooota mizizi arusha? Southern circuit yenyewe tour operators ni wa arusha, na ata huko mwanza watakuja, hakuna kima mwanza anaweza shindana na hospitality ya Arusha.
 
Blah blah blah,acha taarab leta picha hapa,kamji kote mmeshakamaliza hamna jipya.Usione aibu leta hata zile nyumba za miti na udongo tunajua zipo hapo mjini
 
Blah blah blah,acha taarab leta picha hapa,kamji kote mmeshakamaliza hamna jipya.Usione aibu leta hata zile nyumba za miti na udongo tunajua zipo hapo mjini
Nimeweka hakuna aliecomment mmeingia mitini. Mpaka mkaanza kuleta za nchi za watu, hivi shamba city nani anawajaza maji kichwani? Nyie mpo wengi tu ila hakuna lolote mnaizidi Arusha zaidi ya population, dodoma inawazidi kwa urbanisation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…