Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sisi tunacheza golf na rugby mjomba, michezo ya matajiri, soccer pitches zipo kibao, Golf Courses in Tanzania
Nasubiri nione golf club hapo kijijini mwanza, home of mabugandos
Nitajie majina mimi nitaleta picha
DuE_ZRRX4AAf1Gl-1.jpg
 
Ingekua ni muhim hio airport TERMINAL kuwa state of arts sabab wanakuja watu kutoka nje ya nchi.

Hio state of arts iwe stand inayoleta watu wa manyara [emoji23] iache kuwa kwa airport TERMINAL
Huna akili KIA, is enough.
 
Hivi binti kichwani ni mzima kweli "na bado zipo kibao kali" halafu unapost moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukigusa sharubu nakulipua. Shitty country ass city, mwanza? Tunawaangalia tu na ushamba wenu, ni hivi kila kitu mwanza mnachopiga picha au mnachoshangaa sisi tulikuwa kabla yenu na tunavyo mara kumi yake. Mmeleta pitch ushuzi nimeleta PITCH, kelele.
 
Usiwe unaniquote kama hauna picha
Hujui ata kutumia link, ndio maana mnaongoza kupiga picha kwenye maua. Ushamba tu. Nimekuwekea link hapo. Ndio maana hadi leo hamna 5G, maana haina maana watu washamba kuwaisha huduma za kijanja.
 
Huna akili KIA, is enough.
Bwege nin hapo kwenu ni ofisi tu [emoji23][emoji23][emoji23] mshukur serikali. SAS KIA ipo arusha au io A ndo mnajua ni arusha. Hamn demands ya international flights, Kuna majiji ya international airport mbili ije iwe KIA ndo sabab ya nyie kutokuwa na international airport.

Kwaio hio KIA ni state of arts. Waache kuifany KIA kuwa state of arts waje waifanye stand ya mabus ndo state of arts are you mad bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kama KIA ipo hilo pagale hapo airport linajengwa la kaz gani. Hizo garama si bora wajenge hospital ya meno msafishe meno bro
 
Ukigusa sharubu nakulipua. Shitty country ass city, mwanza? Tunawaangalia tu na ushamba wenu, ni hivi kila kitu mwanza mnachopiga picha au mnachoshangaa sisi tulikuwa kabla yenu na tunavyo mara kumi yake. Mmeleta pitch ushuzi nimeleta PITCH, kelele.
Lete picha ya SGR , international airport, modern city ya hapo arusha hio miak kumi. Daraja sijakuomba najua njia ya kuwa na daraja kama JP BRIDGE ni mwanza kuitwa arusha [emoji23]
 
Hujui ata kutumia link, ndio maana mnaongoza kupiga picha kwenye maua. Ushamba tu. Nimekuwekea link hapo. Ndio maana hadi leo hamna 5G, maana haina maana watu washamba kuwaisha huduma za kijanja.
Kabishane na Andrew lupembe Mkurugenzi wa huduma za mawasiliano voda.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230305-174402_Chrome.jpg
 
Karibu mwanza utoe ujinga, Mwanza ina mandhari ya capa cabana ina mandhari ya Miami na mixer ya ki caribbean, nimetuma picha la kitaa cha igogo unaanza kujamba je ningetupua la huko Ghana😜😜😜
Picha za freetown sierra leone, paka kweli watu wa mwanza mlijua hatupajui ama? 🤣 🤣
 
Karibu mwanza utoe ujinga, Mwanza ina mandhari ya capa cabana ina mandhari ya Miami na mixer ya ki caribbean, nimetuma picha la kitaa cha igogo unaanza kujamba je ningetupua la huko Ghana😜😜😜
Paka kweli wewe, ndo maana mnaonekana washamba kweli, mnaotaga kumbe
 
Attachments

  • Screenshot_20230305-182112.png
    Screenshot_20230305-182112.png
    227.9 KB · Views: 7
Back
Top Bottom