Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wapo sana tu hawaendi kokote.
Uwanja wa michezo nyamagana [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] sio CCM KIRUMBA [emoji1787]

MWANZA TANZANIA
maxresdefault-5.jpg
EEHJGlYVUAAc-_x.jpg
00.1Uwanja%20wa%20Nyamagana%20na%20GsengoTv3.JPG.jpg
7.JPG-1.jpg
 
Hahaaa. washamba wa mwanza bana, mnashangaa mataa?? alafu huyo Albert G Sengo game kajifunzia Arusha, ujanja wote alionao ni wa Arusha ilipo familia yao.
Wazungu mnaowashobokea huko kwenu wanayao madaraja ya kuwaka taa wew ni mweh
 
Na wakati huo huo kwa ubinafsi walio nao,wamekaa kimya na wanaona wao wanastahili sana kujengewa daraja la mto Wami la kuwapeleka huko kwao lakini Daraja la Busisi hapana .Hawa watu katika kiwango cha ubinafsi hakuna mtu anawafikia.
Lile daraja ni makosa makubwa ya yule mwendazake usifananishe daraja la mto wami na ilo lenu la busisi.
 
Huku kwetu tunajitosha sisi kilichobaki ni kufanya marekebisho ndio maana Arusha ni jiji la kimataifa.
Umataifa upi na hamn international airport. Hao watu kutoka mataifa mengi wanakuja na bus [emoji23].

Usinambie habar za utalii serengeti ipo mara mt kilimanjaro upo kilimanjaro
 
Ukiachana na hii stand munakipi kingine cha maana? Sisi hatuna maushamba ya picha
Hatuachani na kitu njo na picha. Umeijua burj khalifa bila picha au uliend dubai [emoji41].

Photographers wanaendesha familia zao kwa kupiga picha wew mweu mmoja unasema picha ni ushamba. Kuna mwengine kasema boda boda sio ajira ni umaskini, watu wa arusha bana [emoji23]
 
Back
Top Bottom