Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ila hawajiiti wachaga wanajiita wasukuma, wakurya, wahaya, wahangaza na makabila meng ya lake zone. Na saiv December hawarudi migomban city usweken republic [emoji41]
Wakishatoka huko migombani hawatamani tena kurudi,wanaweka na makazi ya kudumu kabisa Mwanza.
 
Kama kuna kitu huwa inataka kuwatoa roho ni hili daraja [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Jana umesikia Waziri wa Ujenzi Jana amesema Njia 4 zitajengwa kuanzia Kisongo Hadi Arusha na Wana review design mda wowote ujenzi utaanza maana pesa zipo.

Sasa.kadraja hako na Hilo Barabara kipi Cha maana?
 
Matokeo ya sensa ni kitu gani arusha ilichoizid Mwanza hivi huwa unajielewa, we utakuwa ni mjane sio bure.
Nani kasema Arusha imezidi Mwanza? Point ni kwamba idadi ya watu unayoitaja Mwanza ni haipo.

Miaka 10 Mwanza imeongeza watu 900k tuu Sasa,last sensa Wilaya 2 za hapo mjini zilikuwa na watu 700k so inawezekanaje Leo eti Kati ya 900k watu 500k waongeseke kwenye Wilaya 2 za Mjini ilikuwa na wakaazi 1,200k?
 
Wewe Jana umesikia Waziri wa Ujenzi Jana amesema Njia 4 zitajengwa kuanzia Kisongo Hadi Arusha na Wana review design mda wowote ujenzi utaanza maana pesa zipo.

Sasa.kadraja hako na Hilo Barabara kipi Cha maana?
Unakuwa na mtoto mdogo hizo ahadu ata sengerema walishaahidiwa sana tu tena njia sita yapata miaka 7 sasa na hakuna lolote, sisi watu wa kanda ya ziwa tunapenda zaidi vitendo kuliko maneno leta huo ujenzi au tender iliyotangazwa hapo niondoke jf daima na milele, fala sana kama jina lako.
 
Arusha sio sengerema Wala Jiji la wavuvi.

Arusha ni Jiji la Kidiplomasia na Utalii ndio maana imewazidi magorofa
 
Nyamagana plus Ilemela= Mwanza city= 1.54 milion people, utaki nenda kapige punyeto ukalale.
 
Arusha sio sengerema Wala Jiji la wavuvi.

Arusha ni Jiji la Kidiplomasia na Utalii ndio maana imewazidi magorofa
Maghorofa gani mnayo si ulete hapa tuone, mtaacha kudanganywa lini, sisi werevu tulishajua kwanini walitoa hizo takwimu za uongo na uzushi, na hiyo arusha haitaweza kugusa ata nusu ya maghorofa yaliyopo Mwanza ata Miaka 20 ijayo, endeleeni kulishwa matango pori.
 
Kwani kunashindikana nini? Njoo utoe udumavu wa fikra.
 
Kama kuna kitu huwa inataka kuwatoa roho ni hili daraja [emoji23][emoji23][emoji23]
Linawauma. Watu wa dar wako kimya sabab wao lipo ila lingeanza kujengwa mwanza na jinsi wanavyopenda kila kitu kianzie kwao tungepigwa vita nchi nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe Jana umesikia Waziri wa Ujenzi Jana amesema Njia 4 zitajengwa kuanzia Kisongo Hadi Arusha na Wana review design mda wowote ujenzi utaanza maana pesa zipo.

Sasa.kadraja hako na Hilo Barabara kipi Cha maana?
Daraja ndo linamaan kwetu.Dogo garama ya Hilo daraja ni six lanes 100km.Hii inatosha kuwaacha arusha bila unpaved road.

Unpaved roads arusha region =800km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…