Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Wakishatoka huko migombani hawatamani tena kurudi,wanaweka na makazi ya kudumu kabisa Mwanza.Ila hawajiiti wachaga wanajiita wasukuma, wakurya, wahaya, wahangaza na makabila meng ya lake zone. Na saiv December hawarudi migomban city usweken republic [emoji41]