Hii picha ya mwisho kawadanganye mabibi zako ... Arusha wapi hapa π πππMwanza nyie ni viazi sana ,mnapata wapi ujasiri wa kutunisha misuli mbele ya the might diplomacy City of Arusha?View attachment 2541390
Hili jengo la kizamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pambana na nssf ya Arusha sasa ufananishe na hicho kisambusa kikavu, koma kabisa kulitaja jina la Yesu kwenye maujinga yako yasio na kichwa wala miguu. Yani nasemaje, mwanza ntawauaaaa
View attachment 2541003
Arusha hakuna mjengo classic kama huuPambana na nssf ya Arusha sasa ufananishe na hicho kisambusa kikavu, koma kabisa kulitaja jina la Yesu kwenye maujinga yako yasio na kichwa wala miguu. Yani nasemaje, mwanza ntawauaaaa
View attachment 2541003
Wala hata. Mm nimezaliwa mwanza nikakulia mwz. Nimekaa arusha pia na harakat zangu napigia arusha. Kwahio arusha na mwz zote nazijua kwa kias fulani. Arusha mji ni mdogo sana ukilinganisha na mwanza, hio ni fact. Baadhi ya sehem za arusha zimependezeshwa tu ili kuvutia watalii na hii ni kisa arusha iko karibu zaid na mbuga kuliko mwz, na hali ya hewa tu. Ila vinginevyo ars ni [emoji706][emoji706]Kadogo? Green isikudanganye. Mji ni mpana sana tu.
Hawa watu wa kaskazini hasa Arusha ujuaji mwingi kwenye hamna sjui sababu bangi maaana ukiwa na akili timamu huwez komaa kubisha na kulinganisha Jiji kama MWANZA na kajiji kama ARUSHA,Arusha ni sawa mbeya au dodoma inaundwa na Arusha mjini na kijijini basi lakin MWANZA inaundwa na manispaa mbili ilemela na nyamagana pia mwanza imeungana now na magu na misungwi na ndo wameamua kuunda manispaa ya tatu ambayo soon itatangazwa Sasa ubishi Gani wa kijingaWala hata. Mm nimezaliwa mwanza nikakulia mwz. Nimekaa arusha pia na harakat zangu napigia arusha. Kwahio arusha na mwz zote nazijua kwa kias fulani. Arusha mji ni mdogo sana ukilinganisha na mwanza, hio ni fact. Baadhi ya sehem za arusha zimependezeshwa tu ili kuvutia watalii na hii ni kisa arusha iko karibu zaid na mbuga kuliko mwz, na hali ya hewa tu. Ila vinginevyo ars ni [emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuongelei mapori, tunaongelea mji wa kisasaTumia akili kijana basi hio nyasaka [emoji1787] View attachment 2534112
Naona mmeanza kutuonesha Buzuruga uswahiliniArusha vs Nyakato Mwanza na hapa nyakato haionekani yote[emoji1787][emoji1787]
Nyakato ni kata ipo km 7 kutoka CDBView attachment 2534602View attachment 2534605
Kaone haka...tumesema kuanzia stand ya Igombe mpaka Rock city picha zake tumezichoka! Weka picha za nje ya hapo.Daraja la watembea kwa miguu furahisha jijini mwanza
Arusha hakuna[emoji1787]View attachment 2536909View attachment 2536910
Hauna akili wewe buzuruga ni uswahilini[emoji1787] buzuruga ni stand ya gari za mjini sio mtaaNaona mmeanza kutuonesha Buzuruga uswahilini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] arusha hakuna sehemu iliyotulia kama nyasaka we mpuuziHatuongelei mapori, tunaongelea mji wa kisasa
Ilemela [emoji1787][emoji1787]Kaone haka...tumesema kuanzia stand ya Igombe mpaka Rock city picha zake tumezichoka! Weka picha za nje ya hapo.
[emoji3][emoji3][emoji3] huwa nafurahi sana kusoma comments zako,utadhani upo Kijiweni unabishana bila mpangilioAta haifananii yani kumekaa shaghalabaghala, alafu ni SPA sio SPAR. ushamba mzigo. Mmechelewa sana vitu hivo, The arusha hotel wanafanya Spa tangu 1894 at the New Arusha hotel kenge wewe, saivi inaitwa four points by Sheraton, mwanza ni takataka tu kwa arusha. Ni mshamba tu au jitu lisilo na information ndio linaweza toa mishipa eti mwanza ipo juu ya Arusha , haitowai kutokea. Picha ukitaka tumia akili acha ushamba.
Hivi wewe kwanza kule kwenu HQ ya uchawi Sumbawanga mbona hutaki kupasemea? Yani Nchi nzima imejaa mabango ya waganga (wachawi) kutoka Sumbawanga.Si ajabu unarukia kuhangaika na miji na mikoa ya wengine maana kwenu Sumbawanga ni aibu tuMwanza Mkoa wa watu wenye laana ya njaa,ona Sasa
Usilinganishe Sumbawanga na maujinga ujinga yenuHivi wewe kwanza kule kwenu HQ ya uchawi Sumbawanga mbona hutaki kupasemea? Yani Nchi nzima imejaa mabango ya waganga (wachawi) kutoka Sumbawanga.Si ajabu unarukia kuhangaika na miji na mikoa ya wengine maana kwenu Sumbawanga ni aibu tu
Naona unakata pumzi kwa kuzidiwa.Tundika daruga,watakupasua bandama vijana wa Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Juu ya mawe. Ghorofa halina ata design ya maana utadhani limechorwa na mtoto wa darasa la 3. Mwanza ni uchafu.
'Mganga kutoka Sumbawanga anapatikana hapa' haya ni matangazo kila kona ya jiji la Dar na Mwanza kwenye nguzo za umeme za Tanesco [emoji23][emoji23][emoji23].Doh,kuna sehemu nyingine ukipangiwa kuishi unajiona kabisa ndiyo ushaenda HQ ya kuzimu,hata wewe unadhihirisha hilo ndiyo maana kutwa kuzurura kujipendekeza kwa Dodoma na Arusha wachovu wenzio japo wao siyo Wachawi kama SumbawangaUsilinganishe Sumbawanga na maujinga ujinga yenu
Wewe jamaa mbona kwenye ule uzi mwingine unaonekana akili nyingi ila huku unapuyanga tu[emoji3] nakushauri rudi kule kawanyooshe wakunyaUsilinganishe Sumbawanga na maujinga ujinga yenu
Nawnyoosha Wakunya na nyie washamba wa Mwanza π€£π€£.Wewe jamaa mbona kwenye ule uzi mwingine unaonekana akili nyingi ila huku unapuyanga tu[emoji3] nakushauri rudi kule kawanyooshe wakunya
ππππ'Mganga kutoka Sumbawanga anapatikana hapa' haya ni matangazo kila kona ya jiji la Dar na Mwanza kwenye nguzo za umeme za Tanesco [emoji23][emoji23][emoji23].Doh,kuna sehemu nyingine ukipangiwa kuishi unajiona kabisa ndiyo ushaenda HQ ya kuzimu,hata wewe unadhihirisha hilo ndiyo maana kutwa kuzurura kujipendekeza kwa Dodoma na Arusha wachovu wenzio japo wao siyo Wachawi kama Sumbawanga