Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Pambana na nssf ya Arusha sasa ufananishe na hicho kisambusa kikavu, koma kabisa kulitaja jina la Yesu kwenye maujinga yako yasio na kichwa wala miguu. Yani nasemaje, mwanza ntawauaaaa
View attachment 2541003
Hili jengo la kizamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Arusha hakuna jengo zuri kama hili

20170301_170436-660x400.jpg
 
Kadogo? Green isikudanganye. Mji ni mpana sana tu.
Wala hata. Mm nimezaliwa mwanza nikakulia mwz. Nimekaa arusha pia na harakat zangu napigia arusha. Kwahio arusha na mwz zote nazijua kwa kias fulani. Arusha mji ni mdogo sana ukilinganisha na mwanza, hio ni fact. Baadhi ya sehem za arusha zimependezeshwa tu ili kuvutia watalii na hii ni kisa arusha iko karibu zaid na mbuga kuliko mwz, na hali ya hewa tu. Ila vinginevyo ars ni [emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wa kaskazini hasa Arusha ujuaji mwingi kwenye hamna sjui sababu bangi maaana ukiwa na akili timamu huwez komaa kubisha na kulinganisha Jiji kama MWANZA na kajiji kama ARUSHA,Arusha ni sawa mbeya au dodoma inaundwa na Arusha mjini na kijijini basi lakin MWANZA inaundwa na manispaa mbili ilemela na nyamagana pia mwanza imeungana now na magu na misungwi na ndo wameamua kuunda manispaa ya tatu ambayo soon itatangazwa Sasa ubishi Gani wa kijinga
 
Ata haifananii yani kumekaa shaghalabaghala, alafu ni SPA sio SPAR. ushamba mzigo. Mmechelewa sana vitu hivo, The arusha hotel wanafanya Spa tangu 1894 at the New Arusha hotel kenge wewe, saivi inaitwa four points by Sheraton, mwanza ni takataka tu kwa arusha. Ni mshamba tu au jitu lisilo na information ndio linaweza toa mishipa eti mwanza ipo juu ya Arusha , haitowai kutokea. Picha ukitaka tumia akili acha ushamba.
[emoji3][emoji3][emoji3] huwa nafurahi sana kusoma comments zako,utadhani upo Kijiweni unabishana bila mpangilio
 
Mwanza Mkoa wa watu wenye laana ya njaa,ona Sasa
Hivi wewe kwanza kule kwenu HQ ya uchawi Sumbawanga mbona hutaki kupasemea? Yani Nchi nzima imejaa mabango ya waganga (wachawi) kutoka Sumbawanga.Si ajabu unarukia kuhangaika na miji na mikoa ya wengine maana kwenu Sumbawanga ni aibu tu
 
Usilinganishe Sumbawanga na maujinga ujinga yenu
 
Juu ya mawe. Ghorofa halina ata design ya maana utadhani limechorwa na mtoto wa darasa la 3. Mwanza ni uchafu.
Naona unakata pumzi kwa kuzidiwa.Tundika daruga,watakupasua bandama vijana wa Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usilinganishe Sumbawanga na maujinga ujinga yenu
'Mganga kutoka Sumbawanga anapatikana hapa' haya ni matangazo kila kona ya jiji la Dar na Mwanza kwenye nguzo za umeme za Tanesco [emoji23][emoji23][emoji23].Doh,kuna sehemu nyingine ukipangiwa kuishi unajiona kabisa ndiyo ushaenda HQ ya kuzimu,hata wewe unadhihirisha hilo ndiyo maana kutwa kuzurura kujipendekeza kwa Dodoma na Arusha wachovu wenzio japo wao siyo Wachawi kama Sumbawanga
 
Wewe jamaa mbona kwenye ule uzi mwingine unaonekana akili nyingi ila huku unapuyanga tu[emoji3] nakushauri rudi kule kawanyooshe wakunya
Nawnyoosha Wakunya na nyie washamba wa Mwanza 🤣🤣.
IMG_20230305_122035_772.jpg

Sumbawanga -Mpanda Highway
 
'Mganga kutoka Sumbawanga anapatikana hapa' haya ni matangazo kila kona ya jiji la Dar na Mwanza kwenye nguzo za umeme za Tanesco [emoji23][emoji23][emoji23].Doh,kuna sehemu nyingine ukipangiwa kuishi unajiona kabisa ndiyo ushaenda HQ ya kuzimu,hata wewe unadhihirisha hilo ndiyo maana kutwa kuzurura kujipendekeza kwa Dodoma na Arusha wachovu wenzio japo wao siyo Wachawi kama Sumbawanga
📌📌💉💉
 
Back
Top Bottom