KitechnologyNa takwimu ni hizi
Uchumi
Mwanza trilioni 11 vs Arusha trilioni 6
uwekezaji
Mwanza recorded 17 projects while Arusha recorded 8 projects mwaka 2020
Miundombinu
Mwanza ina utra modern bus stand 2 , international airport 1 ,lake port 2 , modern railway station . pedestrian flyovers 2 while Arusha haina hvyo vitu
Kijamii
ustaarabu na ukarimu ni hali ya juu ukiwa mwanza ,pia kuna muingiliano mkubwa wa watu toka mikoa tofauti ukilinganisha na Arusha
Mlienda kupiga picha Ngarasero Lodge...?!Bata za Chuga [emoji116]
Taarifa za mdomoni kwako bila source ni takatakaNa takwimu ni hizi
Uchumi
Mwanza trilioni 11 vs Arusha trilioni 6
uwekezaji
Mwanza recorded 17 projects while Arusha recorded 8 projects mwaka 2020
Miundombinu
Mwanza ina utra modern bus stand 2 , international airport 1 ,lake port 2 , modern railway station . pedestrian flyovers 2 while Arusha haina hvyo vitu
Kijamii
ustaarabu na ukarimu ni hali ya juu ukiwa mwanza ,pia kuna muingiliano mkubwa wa watu toka mikoa tofauti ukilinganisha na Arusha
Mwanza mkifika hapa mtajaza mapovu JF.Mlienda kupiga picha Ngarasero Lodge...?!
Hapa ni wapi...?! Mshahara wako wa Tsh 810,000 unaweza kuishi vizuri...?!Mwanza mkifika hapa mtajaza mapovu JF.
Arusha Classic residential👇
Huu utopoloMwanza mkifika hapa mtajaza mapovu JF.
Arusha Classic residential[emoji116]
Chuga pande za wadosi.Hapa ni wapi...?! Mshahara wako wa Tsh 810,000 unaweza kuishi vizuri...?!
Ndio mitaa gani hiyo...?!Chuga pande za wadosi.
Ya wadosiNdio mitaa gani hiyo...?!
Afrika mashariki yote huwezi pata mtaa classic wenye scenic ya pekee tofauti na mwanza capripoint .....Chuga pande za wadosi.
Hajui hata jina la mtaa,,yaani kadownload huko hat chuga hapajui,[emoji1787][emoji1787]Ndio mitaa gani hiyo...?!
Isamilo & capripointMwanza mkifika hapa mtajaza mapovu JF.
Arusha Classic residential[emoji116]
Inawezekana ana download ma picha tu na kuya post...Hajui hata jina la mtaa,,yaani kadownload huko hat chuga hapajui,[emoji1787][emoji1787]
JPM Bridge, billion 700, niwekee project yenye mzigo mnene kama huo kwa Arusha,Taarifa za mdomoni kwako bila source ni takataka
Atakuambia mradi wa kuhamisha wamasai loliondo pamoja na ngorongoro😂😂😂JPM Bridge, billion 700, niwekee project yenye mzigo mnene kama huo kwa Arusha,
Hii Isamilo-Mji mwema?
👇JPM Bridge, billion 700, niwekee project yenye mzigo mnene kama huo kwa Arusha,