Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Na takwimu ni hizi
Uchumi
Mwanza trilioni 11 vs Arusha trilioni 6
uwekezaji
Mwanza recorded 17 projects while Arusha recorded 8 projects mwaka 2020
Miundombinu
Mwanza ina utra modern bus stand 2 , international airport 1 ,lake port 2 , modern railway station . pedestrian flyovers 2 while Arusha haina hvyo vitu
Kijamii
ustaarabu na ukarimu ni hali ya juu ukiwa mwanza ,pia kuna muingiliano mkubwa wa watu toka mikoa tofauti ukilinganisha na Arusha