Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Check mlivyo washamba Sasa Arusha bandari itokee wapi wakati hatuna bahari au ziwa kubwa kama vickitoria,? Hiv ndio akili zenu za kisukuma zilivyo
 
Sijawai kukataa. Mwanza kitu pekee inaizidi Arusha ni wingi wa mazuzu. Kweli yanazaa hayo mashamba. Ila vingine vyote wanazidiwa na Arusha tena mbali sana.
 
We malaya usiniquote mimi sijakuuliza wewe punguza mazoea sijawahi tembea na bibi ako

Hapa nabattle na vijana wa arusha wenye akili timamu sio wewe bwege wa bao moja
Kwo Nyakato huko ndo kwa kishua Ujue mim nawapostia sehemu kama MOSHONO,Sinoni ,sombetini ...sijataka niwapostie Burka Estate ,Gomba Estate ,USA river ,Uzunguni n.k
 
Arusha lazima mkimbie huu uzi hapa nipo na mpango nikakodi drone nataka niwaletee aerial view ya nyegezi majengo mapya,nyasaka, kaangae,kakebe,Bismarck,minazi mitatu,monarch, magomeni,kiseke,buswelu,shamaliwa na nyamhongolo bila kusahau ibanda

Sitaki picha ya nyumba moja moja nataka aerial view ili mnyooke vizuri tuombe uzima
 
Yani Kweli mwanza ndogo sana ..kwa Arusha uwezi kumaliza siku moja kutembelea sehem zote ..mim nakuzaliwa kwang Arusha Kuna Sehemu sijawah fika sasa kama mwanza unaweza pata muda wa kuzunguka sehemu hizo inaonesha jinsi gani mji wenu ulivo mdogo sanaaaaaaa
 
Mimi watu wa Mwanza nawaomba kitu kimoja ,Nahitaji mbegu za Samaki sato na Sangara ...msaada waku wenu Mikdade,Cha Asubuh n.k
 
Dah unatia huruma mkuu, yani mwanza yenyewe hata upewe wiki huimalizi

Mfano tu kutoka buhongwa ambayo ni nyamagana mpaka kayenze ambayo ni manispaa ya ilemela lazima utumie siku nzima kusafiri na hapo bado uko ndani ya jiji imagine
 
Kwo Nyakato huko ndo kwa kishua Ujue mim nawapostia sehemu kama MOSHONO,Sinoni ,sombetini ...sijataka niwapostie Burka Estate ,Gomba Estate ,USA river ,Uzunguni n.k
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaleta estate tena... sisi tunakuletea posh neighborhood
Capri point,bwiru,nyasaka,kiseke,mwananchi,nyamhongolo,buswelu,nyegezi majengo mapya,ilemela,isamilo,shamaliwa,ibanda hayo ndio maeneo ya kitajiri kwa hapa mwanza maeneo mengi hayana picha zipo picha za bwiru,Capripoint na mwananchi[emoji1787] hayo maeneo mengine tukipata picha zake humu lazima mkimbie [emoji1787][emoji1787]


Mwanza city inajumla ya wakazi 1+ million unafikiria hao watu wote wanaishi mabatini,igogo na sinai?

Mwanza tunamaeneo mazuri ya kawaida yenye hadhi ya njiro+uzunguzi maeneo kama. Kiloleni,bendera tatu,kakebe,buzwagi,Bismarck,mahina,mnangani, mshikamano,Golden nk
 
Kama umefikia huku bas Kuna mahala nati imechomoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaujua umbali wa kutoka kanyama to buhongwa,kahama to luchelele,mihama to ilalila,buhongwa to igombe nk
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Arusha hospital 43,

Mwanza hospital 41
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…