Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mimi sio wamwanza ila arusha kwawashamba sana.mademu Hamna wamejaa wazee tuu.

sasatuwapelekee Moto wazee au?mji wakishamba Sana ule.
 
Kila nikikukamata na uwongo wako unapotea.Bora hata wenzio wanajitahidi kuliko wewe,punguza uwongo.Zile za kinondoni na Salasala nimekuwekea,ukakimbia [emoji3][emoji3].Naingia chimbo sasa hivi nikuumbue tena
Ni asili Yao ujuaji na ulimbukeni ila ukweli wanajua baada ya dar ni mwanza
 
Kila nikikukamata na uwongo wako unapotea.Bora hata wenzio wanajitahidi kuliko wewe,punguza uwongo.Zile za kinondoni na Salasala nimekuwekea,ukakimbia [emoji3][emoji3].Naingia chimbo sasa hivi nikuumbue tena
Wewe ingia mzee mjuaji kama mjuaji ngoja nilete mijengo mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…