Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Je KIA haitatumika, au itakuwa limited kwa ndege za kimataifa tu, me nachojua hicho kiuwanja chenu cha arusha hakitakuwa na maajabu yoyote.
KIA itaendelea kutumika na Arusha itaendelea kutumika tuu
 
Mwanza inawapa stress, mnajua fiika majiji makubwa Tanzania ni Dar na Mwanza, na statistics zinaonyesha hivyo, sasa mnaolazimisha arusha iwe more than mwanza hatuwaelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…