Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unaweza ukalinganisha Airport ya Arusha na Mwanza kwa miruko ya ndege?
Mwanza airport kwamwe haiwezi kuifikia Arusha airport katika shughuli za aviation....
Hamna ukweli uwanja wa mwanza uko busy mno ndege nyingi znatua Kila mda tofaut na Arusha usizan mm mgeni Arusha
 
Uwanja wa Arusha unahitaji taa tuu ili ufanye kazi saa 24, Mwakani itakuwa hivyo... Ndege ni nyingi zinatumia uwanja huu
 
Uwanja wa mwanza uko bize muda wote boss, pia ukweli Arusha wanatmia uwanja wa KIA nao hauko bize ila mkubwa Kwa ajili ya events TU lakin now mwanza tena unapanuliwa ndege zote afrika mashariki zitatua mwanza maana ni karibu,

Mwanza pia Kuna hifadhi ya wanyama ipo ndan ya Jiji inaitwa SANANE ISLAND NATIONAL PARK nazan Tanzania ndo mwanza ni Jiji pekee kuwa na mbuga ya wanyama mjini
 
Ngoja nikueleweshe... Arusha wana uwanja... Unachagua upande ndege Arusha... Ukijisikia unaweza ukapandia KIA ni dakika 40 kutoka Arusha mjini...

Arusha pia kuna Arusha National Park.. Nje ya Usa River...

KIA ipo busy na wakati huo huo Arusha airport IPO busy... Japo Arusha airport ni kwa ajili ya usafiri wa ndani ya nchi
 
Haha hivi vitu mtavipata mkiwa Arusha tu ...karibuni jamani
images (5).jpg
 
Uwanja wa Arusha unahitaji taa tuu ili ufanye kazi saa 24, Mwakani itakuwa hivyo... Ndege ni nyingi zinatumia uwanja huu
Je KIA haitatumika, au itakuwa limited kwa ndege za kimataifa tu, me nachojua hicho kiuwanja chenu cha arusha hakitakuwa na maajabu yoyote.
 
Back
Top Bottom