Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Achana na maswala ya rushwa ,cjui vita lakin ukisema maendeleo Nigeria baba wako juu
Maendeleo wanatuzidi mbali sana mkuu na% hayaletwi na watu wanaishi pale Bali yanaletwa na Diaspora ,Wanigeria %kubwa sana wanishi nje ya nchi...Mfano huyu Raisi mpya Wao Alochaguliwa Asiwaju Tinubu anafahamika kabisa kuwa ni drug master mkubwa Hadi anakesi huko marekani za madawa ya kulvya ila still Bado kachaguliwa kuwa Rais
 
😂
 
Asee zipo nyingi Sanaa Canada, Luxembourg, Denmark,sweeden zipo nyingi sana mkuu ..mim naona kila kitu ni strategies tu ...sisi bongo rushwa,upigaji vimetawala..kama Arusha huku Kuna janja janja janja nyingi sana
Kutokan na kukosa man power kisa uzaz wa mpango leo canada inapokea mtu yoyote kuwa raia wa kule
 
Huo ndo ukweri
Ukweli naoujua ni huu[emoji116]
Screenshot_20230314-194442.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi bado tu mnaicompare Mwanza na kijimji cha arusha! Airport yenyewe hawana wanakimbilia kia dahh.

Dar
Mwanza
...
...
...
...

Mjadala ufungwe,
Unaweza ukalinganisha Airport ya Arusha na Mwanza kwa miruko ya ndege?
Mwanza airport kwamwe haiwezi kuifikia Arusha airport katika shughuli za aviation....
 
Unaweza ukalinganisha Airport ya Arusha na Mwanza kwa miruko ya ndege?
Mwanza airport kwamwe haiwezi kuifikia Arusha airport katika shughuli za aviation....

Weka hapa tuone, au sio ninyi mnakimbilia kupanda KIA?
 
Back
Top Bottom