Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha ukiitoa ngorongoro hakuna kingine cha kujivunia zaidi ya lile sanamu lenu la simba πŸ˜„
 
Hebu nitajie mbuga yenye wanyama wengi kama sio serengeti!
Hilo nakubali mbuga ya Serengeti ndio mbuga yenye wanyama wengi ...ila hilo haliondoi kuwa ngoro ngoro ndio sehemu inayotembelewa na watalii au wageni wengi kwa mwaka kushinda mbuga yoyote tanzania
 
Hilo nakubali mbuga ya Serengeti ndio mbuga yenye wanyama wengi ...ila hilo haliondoi kuwa ngoro ngoro ndio sehemu inayotembelewa na watalii au wageni wengi kwa mwaka kushinda mbuga yoyote tanzania
Mkuu nyie arusha mpo juu sana ya Mwanza tena juu mnoo, nyie ni jiji la pili kwa ukubwa baada ya Dar na baada ya miaka miwili mtakuwa wa kwanza, orodha yangu ni hii
1. Dar
2.Arusha
3.Dodoma
4.Mbeya
5.Tanga
6.Moshi
7.Iringa
8.Mwanza haifai kuwa hata manispaa.
 
Haya mabattle yamekuwa sio ya kujenga wala kuburudisha naona yamejaa chuki, wivu na roho mbaya ambayo baadae yatasababisha ukabila na ukanda.
 
[emoji1488][emoji1666][emoji1666]
 
Watu wa arusha wamefurahi kuwa jiji la pili naona wametulia kwa amani sasa.
 
Arusha tuna vingi vya kujivunia...ujue pia kuna Arusha National park
Saanane Island National Park is a Tanzanian national park in Mwanza. The park is located on an island in Lake Victoria and can be reached by boat from the TANAPA offices on Capri Point in Mwanza town. It is named after the local farmer and fisherman Mzee Saanane Chavandi.

IFAHAMU HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO, MOJA YA KIVUTIO CHA UTALII MKOANI MWANZA

Ziwa Victoria

Mbuga ya serengeti haipo mbali na mwanza
 
Sasa mbona watu hupitia Arusha kwenda Serengeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…