Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nakitu ambacho ulikuwa hukijui kipindi Jiwe Yuko madarakani Arusha ujenzi wa maghorofa ulistop kabisa mana jamaa alifungia Acc za wafanyabiashara wengi sana....Sasa tangu Afariki mambo yamerudi yani ni kila siku vitu vinachomoza tu
 
Sasa takwim haija specify ni Majengo ya aina gani ..Kuna watu wanajenga vibanda nayo pia ni Majengo ....tunataka idadi ya maghorofa
Kama ulihesabu sensa utajua maghorofa aina Ghani yalihesabiwa, pili mwanza ilihujumiwa maghorofa chukua video ya Jiji angalia mwenyewe halafu uje, maaana uwepo wa yule mchaga mtakwimu mkoa naona ana kisasi na mwanza lakin bado haiondoi kuwa ni kubwa na imejengeka
 
Kwamb ihujumiwe kivipi?! Nyie kataeni mkubali kwa maghorofa hamuwezi ikuta Arusha hata punje....na kwasasa tangu Jiwe Afariki wale watu walikimbia project zao kwa sasa wamerudi...Yani ukija Arusha Mwakani usijeshangaa kukuta ghorofa la 40Flrs Jiwe alitukwamisha sana Wana Arusha
 
Arusha gorofa nyingi ndefu ni za mashirika kama ngorongoro,nssf lakini watu binafsi wanaojenga hamuwezi kuwafikia Mwanza!
 
Arusha gorofa nyingi ndefu ni za mashirika kama ngorongoro,nssf lakini watu binafsi wanaojenga hamuwezi kuwafikia Mwanza!
Narua Spring ni ya serikali?,Impala je? , Leopard ni ya serikali? ,parot hotel ni ya serikali? Yote nilokutajia Yana flrs 12,13,14,15 .

Tuje Mwanza nitajie Majengo marefu ambayo yamejengwa na watu binafsi
 
JPM alikukwamisha wewe una hata msingi wa ghorofa moja au ndiyo story za kijiweni za kukwamishwa wakati hata banda la uani huna.
 
Maunyama haya ...afu mnasema ni ya serikali[emoji28]...Tena Sasaivi yatakuwa mengi sana...mana Jiwe aliwaonea sana wivu matajiri wa ChugaView attachment 2558912
Wewe hapo una utajiri gani hadi ukaonewa,kama ni kina Lasway wa Kibo Palace hizo blah blah zako wala hawazijui na ndiyo matajiri sasa.Kapuku mna midomo ya kuongea wakati mifukoni apeche alolo.Weka majengo usilete pang'ang'a za Magufuli kukuonea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…