Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Sasa stand ni kitu common Hadi korogwe Kuna stand....tafuta vitu vingine unique lakin sio standUjenzi wa stand ya Arusha mpk sasa hauelewek kama utajengwa wakat wengine tender za miradi imetangazwa
Matope town
Mwanza 🤣🤣Matope town
Huu sio mji wa kukaa[emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116]View attachment 2566601
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona matope hapo?Mwanza 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 Piki piki ilizama kwenye tope 😂😂😂 daaahMatope town
Huu sio mji wa kukaa[emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116]View attachment 2566601
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku Kijiji Cha Wavivi kikifika level hizi ndio mje kuongea.😂😂😂😂😂😂 Piki piki ilizama kwenye tope 😂😂😂 daaah
Zamani nilipenda kuishi Arusha lakin sa hv hapana Bora nikaishi katoro nitaona na wanyarandwa lakin sio kwenye matope hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Piki piki ilizama kwenye tope [emoji23][emoji23][emoji23] daaah
Sasa A town Jiji kubwa...em cheki Yan mafuriko Hadi kwa uwanja wa Ndege kweli na kamvua kadogoMatope town
Huu sio mji wa kukaa[emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116]View attachment 2566601
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza Arusha plaza zipo nyingi sio plaza tu Hadi complex
Ziko wapiBraza Arusha plaza zipo nyingi sio plaza tu Hadi complex
Uko sahihi ilibidi watu wajadili fursa na kupeana uzoefu wa haya maeneo mawili.Haya mabattle yamekuwa sio ya kujenga wala kuburudisha naona yamejaa chuki, wivu na roho mbaya ambayo baadae yatasababisha ukabila na ukanda.
Site ...Kila mahala [emoji116]Braza Arusha plaza zipo nyingi sio plaza tu Hadi complex
Site [emoji116][emoji116][emoji116].12 floor on construction..job is on..Sasa A town Jiji kubwa...em cheki Yan mafuriko Hadi kwa uwanja wa Ndege kweli na kamvua kadogoView attachment 2567376View attachment 2567377
Hili ghorofa kila siku unalipost