Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kwamb ihujumiwe kivipi?! Nyie kataeni mkubali kwa maghorofa hamuwezi ikuta Arusha hata punje....na kwasasa tangu Jiwe Afariki wale watu walikimbia project zao kwa sasa wamerudi...Yani ukija Arusha Mwakani usijeshangaa kukuta ghorofa la 40Flrs Jiwe alitukwamisha sana Wana Arusha
Halafu jitahid kufikiri maghorofa siyo ya Jiji Bali ni mkoa mzima Sasa sisi hayo yote uliyoona ni ya Jiji maana wilaya zetu za nje na Jiji hazina bado maghorofa
 
Arusha imeijambia tena Mwanza kwenye investments [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Taja na idadi ya Miradi bas ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20230323_194228.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taja na idadi ya Miradi bas ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2563022

Sent using Jamii Forums mobile app
🤪🤪🤪🤪🤪🤪 We Jamaa bwana Kwa kujifariji hujambo..

Sasa idadi ya miradi ndio inakusaidia nini? GDP inapima idadi ya miradi au value ya miradi? 😀😀

Kubaki umekojolewa na Arusha no way out ,Mwanza ni mtoto mdogo sana Kwa Arusha.
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] We Jamaa bwana Kwa kujifariji hujambo..

Sasa idadi ya miradi ndio inakusaidia nini? GDP inapima idadi ya miradi au value ya miradi? [emoji3][emoji3]

Kubaki umekojolewa na Arusha no way out ,Mwanza ni mtoto mdogo sana Kwa Arusha.
Ko hapo arusha imeizidi mwanza GDP .[emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,,, Idadi kubwa ya miradi ni kuonyesha kiwango Cha makampuni yanayowekeza katika eneo
Arusha ni kampuni Moja
Mwanza makampuni manne
Huoni utofauti huo [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] We Jamaa bwana Kwa kujifariji hujambo..

Sasa idadi ya miradi ndio inakusaidia nini? GDP inapima idadi ya miradi au value ya miradi? [emoji3][emoji3]

Kubaki umekojolewa na Arusha no way out ,Mwanza ni mtoto mdogo sana Kwa Arusha.
Soma hyo
20230131_133621.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia quality ya barabara hizi kwenye video
1. Mifereji umefunikwa
2. Kuna sehemu za watembea kwa miguu
3. Zina alama za barabarani ikiwemo taa maalumu za waenda kwa miguu.
4. Zina street lights.

Hebu niletee video kama hiyo nione Arusha, kisha ntakuongezea barabara zingine za mwanza.
 
Back
Top Bottom