Anachanganya project ya Ghana na hii uliyopost. Wanafikiri mwanza haiuwashi moto. Hebu washushie under construction projects zote ili wajue hawajui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukariri alipost lile ghorofa la royal na yanafanana kidogo, kaa kwa kutulia acha kupanic.Hili ghorofa kila siku unalipost
Hawa ni wazee wapenda sifa wakajipa maghorofa ya michongo kila tukiomba tuone wanatoka nduki wanabaki kubwabwaja tu.Anachanganya project ya Ghana na hii uliyopost. Wanafikiri mwanza haiuwashi moto. Hebu washushie under construction projects zote ili wajue hawajui.
Beautiful like kama uko MbinguniTupe maajabu ya hii picha😜😜
Labda mbinguni kwa shetani lkn sio ile mbingu ya mungu, kwenye hiyo picha naona mapori na vichaka na limlima.Beautiful like kama uko Mbinguni
❌❌❌❌❌Beautiful like kama uko Mbinguni
Site nyingine.. Ujenzi uko hot sana hukuBeautiful like kama uko Mbinguni
Mwanza walivyosema ujenzi inaongoza Tanzania hawakukosea ..Hili ghorofa kila siku unalipost
Arusha Kuna kiwanda Cha Nondo,Mwanza mnacho?
Arusha Kuna kiwanda Cha Nondo,Mwanza mnacho?
Leta kiwanda Cha Mwanza kama huna kausha pita kimya kimya Kwa aibuHako kakiwanda kanazalisha tonnes ngapi? Kakiwanda kamechoka sana mpaka kanaelekea kufirisika, wafanyakazi hawalipwi unakuja kutuletea hii habari ili sisi wana Mwanza tusaidie kulipa hizo mishahara?
Kiko wapi? Hata Mimi naweza kusema Kuna Iringa steel company bila ushahidiMwanza steel company ipo njombe, Na sasa kuna kiwanda kikubwa zaidi cha nondo EA nzima hakuna kama hicho, kipo kwenye final touches pale nyanguge.... Tunataka kuwaambia nyie machalii wa r, hakuna kitu mtakuja kutuzidi labda kula ndumu, kuvaa na kuvaa midabwada.
Punguza chuki na ushamba wewe mlugaluga wa njombe👇👇Kiko wapi? Hata Mimi naweza kusema Kuna Iringa steel company bila ushahidi