Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unajua kwann jengo la abiria limesimama na huu ni mwaka wa pili sasa.
Kwanza mlikuwa mnafanya Ufisadi pale,pili halijasimama Bali linajengwa according ya Bajeti..

Airport ya Songwe imejengwa Toka Mkapa ndio inakamilika April mwaka huu mbona hukuwa unauliza?

Kilichoondolewa ni upendeleo uliokuwepo
 
Airport ya mwanza imeanza kujengwa kuansia mwaka gani? Na je hiyo airport ya songwe ni muhimu kuliko ya Mwanza?
 
Unajua kasi ya ujenzi ya Mwanza kwa sasa? Au umekaa hapo ungalimited ukivuta bangi tu
Kutokana na tafiti hii Ingekuwa kipindi Cha Jiwe basi Mwanza ingekuwa ya kwanza...sasa hapa ndo inaonekana dhahiri ukubwa wa Miji bila upendeleo wowote ...wakati wa Jiwe Arusha kulikuwa hamna ujenzi wa mradi wowote wa maana unaendelea matajiri na wawekezaji walikimbia wengine walificha pesa zao..hata Yale magorofa yaliyokuwa yanajengwa yalisimama..baada ya kufa majengo ndo yameanza chomoza tena
 
Ya Mwanza sio muhimu kuliko ya Arusha au Dodoma
Arusha kuna umuhimu gani wakati kuna KIA, na hapo Dodoma kuna umuhimu gani wakati kuna JNIA, au Dodoma ndege za kimataifa zitakuwa ni za nchi gani au wageni kutoka wapi au ni wabunge?
 
Arusha kuna umuhimu gani wakati kuna KIA, na hapo Dodoma kuna umuhimu gani wakati kuna JNIA, au Dodoma ndege za kimataifa zitakuwa ni za nchi gani au wageni kutoka wapi au ni wabunge?
Watalii wanatumia viwanja vyote 2 vya Arusha
 
Ukiona mtu hajiamni na pesa zake huyo alikuwa mwizi, fisadi, mhujumu uchumi n.k, japo hata sisi kipindi cha magufuli ujenzi wa majengo marefu pale cbd ulisimama kabisaa kwa miaka mitano, naona watu wanajenga pia japo mimi sio mwanauchumi sijui kasi hii ni kwasababu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…