Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Waache wajitekenye Alf walie yereewi yesu na mariaPamoja mwamba tupo pamoja wanajitoa ufahamu ukweli wanajua kabisa baada ya dar ni mwanza sema wanafrahisha jf tyu
Kwanza Arusha kuja kua kama Mwanza ya sasahv tu ni miaka Zaid ya 50 ijayo jiulze Sasa Mwanza hapo itakuaj