Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Waache wajitekenye Alf walie yereewi yesu na mariaPamoja mwamba tupo pamoja wanajitoa ufahamu ukweli wanajua kabisa baada ya dar ni mwanza sema wanafrahisha jf tyu
Na kwa mwanza hi ndo hotel ya kujivunia
Brother chuga hotel zipo nyingi mnooKama unataka kuzifahamu hotel za mwanza sema, usichanganye lugha hapa zaidi ya Gran MELIA, kibo palace na mount Meru zingine ni za kawaida sana.
Weka pichaBrother chuga hotel zipo nyingi mnoo
Azitoe wapiWeka picha
Google lens itakuaibisha so mudaYani zipo nyingi mnoo na hizi ni baadhi za maghorofaView attachment 2574093View attachment 2574094
Hizi grocery ndio unaita hotel na watu wanjombe si wataita hotel za nyota 5😂😂Yani zipo nyingi mnoo na hizi ni baadhi za maghorofaView attachment 2574093View attachment 2574094
Sasa kwa Arusha hizo grocery ndo tunafananisha na hizo hotel zenu kubwa za gold crestHizi grocery ndio unaita hotel na watu wanjombe si wataita hotel za nyota 5[emoji23][emoji23]
We Google jiamin Mwamba Arusha tuna hotel so za kitoto broGoogle lens itakuaibisha so muda
Aliyekuambia gold crest ni hotel kubwa kwa mwanza ni nani. Unajua hata specification za hotel kubwa?Sasa kwa Arusha hizo grocery ndo tunafananisha na hizo hotel zenu kubwa za gold crest
Hap grain melia broVitu kama hivi mwanza mtasubiri sanaView attachment 2573190
Huo sindo ukweli mana kila siku ni hotel hiyo tuAliyekuambia gold crest ni hotel kubwa kwa mwanza ni nani. Unajua hata specification za hotel kubwa?
Gold crest hawezi kushindana na hawa👇👇Huo sindo ukweli mana kila siku ni hotel hiyo tu
Uhakika kabisa omukayaGold crest hawezi kushindana na hawa👇👇
1.Malaika
2.Tilapia
3.Ryan bay
4.Wag hill
5.Jembe ni jembe
6.Mwanza hotel huyu wapo level moja.
Kwa kukazia gold Crest ni lodge ilioko mjini [emoji23][emoji23]Gold crest hawezi kushindana na hawa[emoji116][emoji116]
1.Malaika
2.Tilapia
3.Ryan bay
4.Wag hill
5.Jembe ni jembe
6.Mwanza hotel huyu wapo level moja.
Kabisa mkuu, hii na wakina aden palace, au pigeon na wakina midlnd hawana tofauti hawa wote sijui kama wamefikisha 4 star.Kwa kukazia gold Crest ni lodge ilioko mjini [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa kukazia gold Crest ni lodge ilioko mjini [emoji23][emoji23]