Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sema nini humu naona watu mnatukana matusi hii sio fea kabisa ,hii sio vita wandungu wote watanzania ..vile vile watu wanaofatilia humu ni Rika tofauti sio vijana pekee ..tuishi kwa Amani wakuu
Watu wa mwanza wakishazidiwa wanaishia kutukana tu mkuu. Hii inaonesha ukubwa wao jinsi walivyo washamba.
 
Watu wa mwanza wakishazidiwa wanaishia kutukana tu mkuu. Hii inaonesha ukubwa wao jinsi walivyo washamba.
Nyie size yenu ni dodoma.. dodoma inawa pumlia kisogoni ,,, Mwanza mtaiwezea wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sana, wameanza kuona maghorofa, magari, wazungu, na vitu vingi sana kabla ya waskuma wa mwanza, sijui bwiru, sijui wapi, ambao bado wanauana kisa mapenzi na uchawi mpaka jana.
Kule usukumani wanaongoza kwa uchawi na kutoana kafara, kuua vikongwe na albino bila kusaau kunya ziwani maana wana uhaba wa vyoo
 
Nyie size yenu ni dodoma.. dodoma inawa pumlia kisogoni ,,, Mwanza mtaiwezea wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha kujitoa ufahamu mkuu. Uo mji wenu ata kupangiliwa haujapangiliwa ujenzi holela mji unazunguka ndani ya siku mbili ushamaliza. Shamba city munapenda ligi isiyo maana yeyote
 
Acha kujitoa ufahamu mkuu. Uo mji wenu ata kupangiliwa haujapangiliwa ujenzi holela mji unazunguka ndani ya siku mbili ushamaliza. Shamba city munapenda ligi isiyo maana yeyote
Arusha mjini nazunguka ndani ya dk 10 hiyo cbd nimeshaimaliza yote.
 
Watakwambia wao wanaongoza Kwa Utalii ila huwezi ona hata mtalii mmja akishuka airport Yao 🤪🤪🤪🤪

Mafuriko ya Watalii Arusha 👇
Mkuu usiendelee kuwaumiza hawa shamba city. Tuwape mbinu za kujinasua kwenye lindi la umasikini na uzwazwa uliowatawala . Tuwasaidie wajitambue mkuu
 
Acha kujitoa ufahamu mkuu. Uo mji wenu ata kupangiliwa haujapangiliwa ujenzi holela mji unazunguka ndani ya siku mbili ushamaliza. Shamba city munapenda ligi isiyo maana yeyote
Unajua maana ya ujenzi holela au watu kujenga milimani ni ujenzi holela, na maana ya slums unajua, huko unakosema kuna ujenzi holela kuna huduma zote muhimu, kama mashule, hospitali, sewage system ambayo hakuna hapa EA zaidi ya Mwanza, huko milimani kuna barabara nzuri tu za mawe.
Na huwezi kujenga kwenye mawe kama una hela za kimaskini.
 
Naona mnajifariji sana.
Hakuna faraja zaidi ya kuwaambia ukweli. Uchawi unawarudisha nyuma wasukuma wengi. Acheni uvhawi usio na maana yeyote, tizama hata apa jf, story nyingi za kutoka mwanza ni uchawi tu.
 
Mkuu usiendelee kuwaumiza hawa shamba city. Tuwape mbinu za kujinasua kwenye lindi la umasikini na uzwazwa uliowatawala . Tuwasaidie wajitambue mkuu
Unaongea sana bila facts kati ya Mwanza na arusha wapi kuna umaskini na wapi kuna utajiri
 
Kule usukumani wanaongoza kwa uchawi na kutoana kafara, kuua vikongwe na albino bila kusaau kunya ziwani maana wana uhaba wa vyoo
Huaba wa choo wakati kuna mifumo ya maji safi na maji taka huko milimani mpaka wakenya walikuja kujifunza.
 
Nyie size yenu ni dodoma.. dodoma inawa pumlia kisogoni ,,, Mwanza mtaiwezea wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
Arusha ndani ya mwaka huu au ujao watatoka kwenye nafasi ya tatu, na nafasi yao itachukuliwa na Dodoma
 
Nyie ndugu zetu tunajaribu kuwaambia ukweli lakini munakaza mafuvu. Sikatai kujenga kwenye mawe ila kwa pale mwanza kumekaa kama sehemu fulani iliyotelekezwa. Vinyumba kama viboksi Yani, pale ilitakiwa waje wataalam wafanye ujenzi unaoeleweka, mfano hotel za kitalii, ma bar, lakini wamejenga umo masikini watupu siku maafa yakiwafika ndio mitajua kuwa ule ni ujenzi holela.
 
Hakuna faraja zaidi ya kuwaambia ukweli. Uchawi unawarudisha nyuma wasukuma wengi. Acheni uvhawi usio na maana yeyote, tizama hata apa jf, story nyingi za kutoka mwanza ni uchawi tu.
Uchawi unaturudisha nyuma tungekuwa na jiji kubwa kama hili, tungekuwa na dgp kama hii, ambayo arusha mnaingia mara tatu na chenji inabaki.
 
Kuna nini hapa cha ajabu mbona unakuwa mshamba na limbukeni sana, hapa na iringa kunatofauti gani.
Apo utataka mapicha ya manyumba ndio utajua jinsi gani ninyi ni washamba. Huo ni mpangilio mdogo tu wa jiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…