Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Uchawi unaturudisha nyuma tungekuwa na jiji kubwa kama hili, tungekuwa na dgp kama hii, ambayo arusha mnaingia mara tatu na chenji inabaki.
Apo wamewekeza wageni wengi ambao wanatoka sana huku kaskazini, Kama unavyojua sisi ni wapambanaji na popote kwetu ni kambi, ila wazawa wamezidi uchawi aise, tukisema tuondoke tuwaachiye mji wenu, ndani ya miezi sita tu ya mwanzo, mutakuwa kama kibera ya kenya.
 
Leta hotel za arusha tuzione zaidi ya kurudia hotel zenu hizo hizo, kila wakati, arusha mnahotel tatu za maana zingine ni vichuguu vya mchwa.
 
Sio Dar ndo iko mbali na mwanza
Na hapo ndio mwanza inatake advantage kwa kufanya biashara na miji yote ya kanda ya ziwa, na miji mikubwa kama, kampala, kisumu, kigali, bujumbura na miji ya congo.
 
Kuna muwekezaji gani kutoka huko kaskazini akawekeza mwanza, zaidi ya kufungua viduka vya kuuza sukari na mafuta ya kupima mna nini kingine kanda ya ziwa, hii mwanza inajengwa na wazalendo wa mwanza, wasukuma, wakurya na wahaya nje ya hapo ni serikali kwenye baadhi ya miradi.
 
Fanya utafiti mkuu. Wachaga wamejazana hapo na wapare wanapiga mzigo ninyi mumeachiwa uvuvi na ufugaji pamoja na kuzaliana tu
 
Leta hotel za arusha tuzione zaidi ya kurudia hotel zenu hizo hizo, kila wakati, arusha mnahotel tatu za maana zingine ni vichuguu vya mchwa.
Ha haha dah wee jamaa bana unasikitisha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fanya utafiti mkuu. Wachaga wamejazana hapo na wapare wanapiga mzigo ninyi mumeachiwa uvuvi na ufugaji pamoja na kuzaliana tu
Wamejazana wapi kwani wasukuma hawapo maeneneo mengine, kujazana kwenu huku si mnatafuta ridhiki mmeona huko kwenu hakuna kitu, tatizo mnazanana na hamna mikakati ya kueleweka na kutujazia vijumba vya ovyo tu.
 
Fanya utafiti mkuu. Wachaga wamejazana hapo na wapare wanapiga mzigo ninyi mumeachiwa uvuvi na ufugaji pamoja na kuzaliana tu
Wanapiga mzigo gani? Niambie hotel moja au kiwanda au kitu chochote kikubwa cha mchaga kanda ya ziwa ili nisibishane na wewe
 
Fanya utafiti mkuu. Wachaga wamejazana hapo na wapare wanapiga mzigo ninyi mumeachiwa uvuvi na ufugaji pamoja na kuzaliana tu
Wanapiga mzigo gani? Niambie hotel moja au kiwanda au kitu chochote kikubwa cha mchaga kanda ya ziwa ili nisibishane na wewe tena
 
Acha kujichekesha kama umeona chupi ya pisi kali, nikiambiwa nichague kati ya arusha na lindi, me naenda lindi.
Ha haha mwanza ina hotels 117 wakati Arusha ina hotels 700+ hahaha halafu unavimba kabisa tena hata ujionei huruma ivi unapata wapi ujasiri huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…