OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Apo wamewekeza wageni wengi ambao wanatoka sana huku kaskazini, Kama unavyojua sisi ni wapambanaji na popote kwetu ni kambi, ila wazawa wamezidi uchawi aise, tukisema tuondoke tuwaachiye mji wenu, ndani ya miezi sita tu ya mwanzo, mutakuwa kama kibera ya kenya.Uchawi unaturudisha nyuma tungekuwa na jiji kubwa kama hili, tungekuwa na dgp kama hii, ambayo arusha mnaingia mara tatu na chenji inabaki.