Wanakuwa kama mazombieWanavuta super glue siku hizi, ni Bora hata bangi super glue inawafanya kuwa mazoba completely.
Waarusha ni chawa wa wakenya, wanajaribu kuiga na kucopy ujinga wa wawakenya halafu wanajiita wajanaja. Nilishawi sema Kuna tofauti kubwa mno kati ya mjanja na limbukeni.Hawana tofaut na wakenya waongo na propaganda za kujikweza kwenye vitu ambavyo hawana uwezo navyo.
Hao ni malimbukeni, utasikia united states of Arusha, mara nchi ndani ya nchi, ukiangalia arusha yenyewe haina tofauti na kahama.Waarusha ni chawa wa wakenya, wanajaribu kuiga na kucopy ujinga wa wawakenya halafu wanajiita wajanaja. Nilishawi sema Kuna tofauti kubwa mno kati ya mjanja na limbukeni.
Me jana nilikuwa Arusha nilitumia dakika 5 kumaliza mji mzima na dk moja ya ziada ikabaki.Juzi Kati nilikuwa mwanza. Nimetumia siku mbili tu kuimaliza yote. Aka ndo ka mji mnakotambia?!
Sasa hivi vitu mbona ata mtwara vipo πππ enyi watu wa kanda ziwa munaitaji maombiView attachment 2580522View attachment 2580524View attachment 2580525
Waongeze na hizo kutoka eneo Hilo hilo
Unaleta utani wakati mimi naongea kitu cha kweliMe jana nilikuwa Arusha nilitumia dakika 5 kumaliza mji mzima na dk moja ya ziada ikabaki.
Has Haha yani mkali unawapiga pigo kubwa kubwa sana. Waache waendelee kupost vi restaurant tuCladding imeanza mambo ni π₯π₯π₯π₯ View attachment 2581406View attachment 2581407Najua mtachukia π€£π€£
Hahaha wanaleta vipicha vya bar na restaurant halafu wanaita ni mahali pa kupumzikaππππMnajiongelesha, mkishapigwa ndo mnakuja na vipicha uchwara, vitu vya kawaida sana alafu. Ndio maana mnaonekana washamba, what's special there? π€£
Mnaitaji maombi nyie msiokuwa na makazi bora.Sasa hivi vitu mbona ata mtwara vipo πππ enyi watu wa kanda ziwa munaitaji maombi
Mwanza huwa haipokei wendawazimu kama wewe.Unaleta utani wakati mimi naongea kitu cha kweli
Leta picha za vilabu vya gongo vya huko arusha.Hahaha wanaleta vipicha vya bar na restaurant halafu wanaita ni mahali pa kupumzikaππππ
Ushamba ni tatizo sugu
Iv apa mwanza kwa jinsi navyopaona sidhani kama kuna msukuma anaeza miliki hotel Kama Impala, ngurudoto kwa pamoja imagine izo ni mali za mtu mmojaHakuna je
Unataja vitu vya mtu mmoja aliekufa. Kwanza mwendazake alikuwa anavandalize matajiri wa kaskazini usitutie hasira bure.
Ndicho mlichobakiza kutukana tu yani. Huu ndio mji munaotambia uku jfππππMwanza huwa haipokei wendawazimu kama wewe.
Jana ulishindia mbege naona sasa umelala kwenye kamkeka huku ukiota ndoto upo Mwanza ukila bata, Mwanza sio ya watu wote we baki hapo hapo kwenye kimji chenu.Iv apa mwanza kwa jinsi navyopaona sidhani kama kuna msukuma anaeza miliki hotel Kama Impala, ngurudoto kwa pamoja imagine izo ni mali za mtu mmoja
Hahahaha aise hawa watu ni wakuwaonea huruma tu mkuu. Siyo kwa zigo hili la ushamba walonaloππππHahah mwanza bana kwa kujipa sifa mnaongoza ..Yani hako kakitu hapo chini ni plaza? Mji local sana huo[emoji1484]
Mwanza mkoa wapi kuna kijiji ebu taja kijiji kimojaYani ukitoa mwanza mji uku kwingine wanaishi wapori pori watu hawajui ata kiswahiliππππ
Kuna mutu binafsi apa mwanza anaeza miliki mali za hizo?Jana ulishindia mbege naona sasa umelala kwenye kamkeka huku ukiota ndoto upo Mwanza ukila bata, Mwanza sio ya watu wote we baki hapo hapo kwenye kimji chenu.