Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha mmezidi hadi vijana na ndevu zao wanaomba mia mbili.
Kutokana na ukaribu wa dodoma singida na Arusha basi vijana wengi wa huko huja town na kufanya izo mbanga. Ila sikutanii mwanza siyo kama munavyoipamba hapa nimeona mwenye niko hapa mjini kabisa
 
Kutokana na ukaribu wa dodoma singida na Arusha basi vijana wengi wa huko huja town na kufanya izo mbanga. Ila sikutanii mwanza siyo kama munavyoipamba hapa nimeona mwenye niko hapa mjini kabisa
Upo mtaa gani hapo?
 
Ni ndoto ya kila binadamu wa Arusha kufika Mwanza, nakishauri endelea kukusanya pesa utapata za kukufikisha Mwanza.
Hahaha ngoja nikupe fact moja. Huwezi kufika ulaya kama hujaishi Arusha au pengine Dar, eti utoke tu moja kwa moja sehemu kaa nyakato au ilemela afu uende one way to mbele ..au ata apo Zanzibar, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama uko mwanza sema tukutane wapi nichukue boda chapu huu mji unashangaza sana
 
Umesema upo Mwanza kwanini usitusaidie na sisi ambao tupo arusha kwasasa.
Wewe mji wenu si unaujua vizuri halafu kumbe uko Chugastan. Ngoja nimalize mishe zangu nikirudi nakutafuta.

Taja five stars hotels hapa mwanza mimi nikutajie chache tu kama 80 zilizopo Arusha
 
Toka usingizini, hapo arusha kuna uwanja gani wa kimataifa, unajua uliwa unadepart ukitokea arusha ni lazima upitie wapi? Wewe ni mshamba kama masai wenzio.
 
Wewe mji wenu si unaujua vizuri halafu kumbe uko Chugastan. Ngoja nimalize mishe zangu nikirudi nakutafuta.

Taja five stars hotels hapa mwanza mimi nikutajie chache tu kama 80 zilizopo Arusha
Sitaki utaje 80 nitajie tatu tu ambazo zipo active.
 
Toka usingizini, hapo arusha kuna uwanja gani wa kimataifa, unajua uliwa unadepart ukitokea arusha ni lazima upitie wapi? Wewe ni mshamba kama masai wenzio.
Tuseme tu ukweli mkuu, unaeza toka mwanza moja kwa moja eti unaenda hata apo Dubai tu achana na ulaya ...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuseme tu ukweli mkuu, unaeza toka mwanza moja kwa moja eti unaenda hata apo Dubai tu achana na ulaya ...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna ndege gani ya kutoka arusha na kwenda moja kwa moja hata hapo kenya?
 
Kisukuma ni identity ya mwanza kama nyie meona kuoza
Sasa identity ndio muongee na kila mutu hahaha hamuwezi tofautisha kwamba hapa ni town kuna watu wa aina mbali mbali munadhani wote wasukuma dahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mfano leo nimepanda kidala eti konda anauliza kituo kwa kisukuma sasa ndio nini hiki kama siyo ushamba na ujinga uliowajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…