Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hallucination zinakusumbua, Mwanza haijawahi kupokea watu wa aina yako na kama unataman kuja mwanza sema tukuchangie pesa.Sasa identity ndio muongee na kila mutu hahaha hamuwezi tofautisha kwamba hapa ni town kuna watu wa aina mbali mbali munadhani wote wasukuma dah😂😂😂
Mfano leo nimepanda kidala eti konda anauliza kituo kwa kisukuma sasa ndio nini hiki kama siyo ushamba na ujinga uliowajaa