Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Katikati ya jiji watu wanaongea kisukuma tu mwanzo mwisho ndio kuwe na five stars hotels kweli.
 
Hotel ya gharama inayopatikana mwanza ni Malaika tu TZS 300k hahaha ndiyo hiyo tu huu mji local Sana sema una mtaji wa watu.
 
Hahaha unachekesha sana! Mtu ashindwe kujenga Masaki ajenge Arusha kwa lipi la maana hapo Arusha?
Mnawachukia sana watu wa Mwanza hiyo kitu hapo ni ya Ngosha anaitwa Nyembo! Kajinyongeni sasa!
Mshamba wa mwanza, sisi watu wa arusha ata masaki haitushutui fyi
 
Mshamba wa mwanza, sisi watu wa arusha ata masaki haitushutui fyi
Mwanza international airport.. radar and control tower
IMG-20230411-WA0002.jpg
 
Watu wa kaskazini na wakenya wanafanana sana tabia, ni wazee wa sifa na kupublish vitu vya uongo ili kujikweza, mara mahotel mengi Tanzania nzima wanaongoza, mara maghorofa, mara utajiri wanaongoza, ukiwaambia waje kwa ground kila siku kupost jengo moja.
Kwa hiyo hawana hela au??? Punguza chuki za kikabila mlevi wwe

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom