The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wakati Mwanza mna struggle kupata Maji, Arusha Maji uhakika by 100% kwa mradi wa Bil.520 πHili jengo huwezi fananisha na Mwauwasa utakua mgonjwa wa akili
Habari mbaya sana kwa Mwanza,inazidi kukaliwa kooni na Arusha πArusha bado Ina safari sana
Mwanza suburbs by night [emoji116][emoji116]View attachment 2359018View attachment 2359019View attachment 2359020
Arusha n Jiji dogo sana kwanza halina majengo mengi Bali n machache marefuHuwezi pata skyline kama hii huko Mwanza..
Arusha City [emoji116]
Kubwa kwa nani labda? Kubwa kwa washamba wa Lake zone..Huu ugomvi mbona tulishaamua kitambo? Mwanza ni jiji kubwa kuliko Arusha lakini Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza kimuonekano, exposure ya wakazi, na hata potential ya kiuchumi.
Arusha wafanye utaratibu Arumeru iwe sehemu ya jiji ili yale mashamba yapimwe kuwa makazi jiji libadilike zaidi.
Mimi ni mzaliwa wa Mwanza ( ingawa asili ni Kagera) na nimekulia Arusha hivyo sina upendeleo maana majiji yote nayafahamu kwa kina.
Mikutano ya Kimataifa inafanyika kwenye Majiji yenye hadhi..Arusha n Jiji dogo sana kwanza halina majengo mengi Bali n machache marefu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ata Kwa uzur wa Jiji bado Arusha inazidiwa na mwanza [emoji116]Arusha Safari City back on track [emoji116]
Mwanza ni zero kabisa na haina uzuri wowote wa kukaribiana na ArushaπAta Kwa uzur wa Jiji bado Arusha inazidiwa na mwanza [emoji116]View attachment 2378202
Ndani ya nyegezi utra terminal [emoji116][emoji116]..huku public investment speak louder than your empty word'sMwanza ni zero kabisa na haina uzuri wowote wa kukaribiana na Arusha[emoji116]
Kiukweli Arusha ni pazuri na patamu,ni vile ubishi tuu watu wa Mwanza hawataki kukubari ππ.Ndani ya nyegezi utra terminal [emoji116][emoji116]..huku public investment speak louder than your empty word's View attachment 2378240
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Kiukweli Arusha ni pazuri na patamu,ni vile ubishi tuu watu wa Mwanza hawataki kukubari [emoji23][emoji23].
Chuga [emoji116]
Arusha.rekebisheni Kwanza miundombinu yenu ya usafiri wa uma ndo tuendelee na battleKiukweli Arusha ni pazuri na patamu,ni vile ubishi tuu watu wa Mwanza hawataki kukubari [emoji23][emoji23].
Chuga [emoji116]
Unaleta picha za zamani kaka,Watu wa arusha.hamna kitu kinawauma kama kuona mandhari safi ya ziwa mwanza .....ila ndio hvyo [emoji116][emoji116]the beautiful lake city in Tanzania ...hwezi pata mwonekano safi kama hapo kaloleniView attachment 2386369View attachment 2386370View attachment 2386372View attachment 2386373View attachment 2386374
Sawa hatujakataa, lakini bado thamani ya aridhi Mwanza mjini ni kubwa kuliko ArushaMikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya majengo ya ghorofa #Tanzania kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 1. Dar es Salaam: 32,219 2. Arusha: 7,180 3. Tanga: 4,282 4. Kilimanjaro: 3,540 5. Mwanza: 2,481
Brother uko serious kabisa acha bwana unajua naishi kishili uku na bei ya ardhi mwanza naijui mpk viwanja vya hapo mjini kina zongii walivyonunua?Sawa hatujakataa, lakini bado thamani ya aridhi Mwanza mjini ni kubwa kuliko Arusha
Sio discussion, tuliisha imaliza hii topic long long time ago, na Mwanza aridhi ni ghali kuliko Arusha. Tena kwa ushaidi wa land valuation report ya 2022 kutoka wizara. Wewe kuishi Kishiri sio deal mimi na naishi Njiro ya Lemara huku.Brother uko serious kabisa acha bwana unajua naishi kishili uku na bei ya ardhi mwanza naijui mpk viwanja vya hapo mjini kina zongii walivyonunua?
Mwanza bado sana hakuna lolote zaidi ya ziwa ,watu wanachapwa hadi na Kilimanjaro kwenye maghorofa iyo ni jiji ama glorified village..?Mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya majengo ya ghorofa #Tanzania kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 1. Dar es Salaam: 32,219 2. Arusha: 7,180 3. Tanga: 4,282 4. Kilimanjaro: 3,540 5. Mwanza: 2,481