Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hili jengo huwezi fananisha na Mwauwasa utakua mgonjwa wa akili
Wakati Mwanza mna struggle kupata Maji, Arusha Maji uhakika by 100% kwa mradi wa Bil.520 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220917-082905.png
    Screenshot_20220917-082905.png
    99 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220917-082915.png
    Screenshot_20220917-082915.png
    90.9 KB · Views: 17
  • 20220917_083419.jpg
    20220917_083419.jpg
    160.5 KB · Views: 16
  • 20220917_083425.jpg
    20220917_083425.jpg
    97.3 KB · Views: 16
  • 20220917_083155.jpg
    20220917_083155.jpg
    107.7 KB · Views: 18
  • 20220917_082933.jpg
    20220917_082933.jpg
    126.3 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220917-083222.png
    Screenshot_20220917-083222.png
    76.1 KB · Views: 16
Huu ugomvi mbona tulishaamua kitambo? Mwanza ni jiji kubwa kuliko Arusha lakini Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza kimuonekano, exposure ya wakazi, na hata potential ya kiuchumi.

Arusha wafanye utaratibu Arumeru iwe sehemu ya jiji ili yale mashamba yapimwe kuwa makazi jiji libadilike zaidi.

Mimi ni mzaliwa wa Mwanza ( ingawa asili ni Kagera) na nimekulia Arusha hivyo sina upendeleo maana majiji yote nayafahamu kwa kina.
 
Kubwa kwa nani labda? Kubwa kwa washamba wa Lake zone..

Uwekezaji wa Viwanda Vya kuongeza thamani Mazao jijini Arusha 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220924-080620.png
    Screenshot_20220924-080620.png
    161.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220924-080556.png
    Screenshot_20220924-080556.png
    155.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220924-080338.png
    Screenshot_20220924-080338.png
    146.5 KB · Views: 11
Arusha Safari City back on track 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220925-081041.png
    Screenshot_20220925-081041.png
    110.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220925-081144.png
    Screenshot_20220925-081144.png
    50.5 KB · Views: 20

Attachments

  • Fd5nre7XkAAepYY.jpg
    Fd5nre7XkAAepYY.jpg
    305.2 KB · Views: 22
  • 5e9f0dd603fd9.jpeg
    5e9f0dd603fd9.jpeg
    137.2 KB · Views: 19
  • images (45).jpeg
    images (45).jpeg
    22.4 KB · Views: 18
  • 3039375_image_downloader_1639920953416.jpg
    3039375_image_downloader_1639920953416.jpg
    39.9 KB · Views: 19
  • 3039374_image_downloader_1639920814086.jpg
    3039374_image_downloader_1639920814086.jpg
    114.7 KB · Views: 16
  • 3034741_maxresdefault36.jpg
    3034741_maxresdefault36.jpg
    127.6 KB · Views: 18
  • 3038946_2998829_IMG_6057.jpg
    3038946_2998829_IMG_6057.jpg
    17.1 KB · Views: 17
Watu wa arusha.hamna kitu kinawauma kama kuona mandhari safi ya ziwa mwanza .....ila ndio hvyo [emoji116][emoji116]the beautiful lake city in Tanzania ...hwezi pata mwonekano safi kama hapo kaloleni
JamiiForums172045848.jpg
JamiiForums115072998.jpg
1662484182862.jpg
1662484320148.jpg
1662061904283.jpg
 
Mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya majengo ya ghorofa #Tanzania kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 1. Dar es Salaam: 32,219 2. Arusha: 7,180 3. Tanga: 4,282 4. Kilimanjaro: 3,540 5. Mwanza: 2,481
 
Sawa hatujakataa, lakini bado thamani ya aridhi Mwanza mjini ni kubwa kuliko Arusha
Brother uko serious kabisa acha bwana unajua naishi kishili uku na bei ya ardhi mwanza naijui mpk viwanja vya hapo mjini kina zongii walivyonunua?
 
Brother uko serious kabisa acha bwana unajua naishi kishili uku na bei ya ardhi mwanza naijui mpk viwanja vya hapo mjini kina zongii walivyonunua?
Sio discussion, tuliisha imaliza hii topic long long time ago, na Mwanza aridhi ni ghali kuliko Arusha. Tena kwa ushaidi wa land valuation report ya 2022 kutoka wizara. Wewe kuishi Kishiri sio deal mimi na naishi Njiro ya Lemara huku.

1667303310133.png

Tulilinganisha bei ya aridhi kwenye CBD Mwanza akamnyoosha Arusha, bado sehemu kama Capri point nje ya CBD lakin bei ya plot hapo unapata kiwanja Arusha CBD na change inabaki
 
Mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya majengo ya ghorofa #Tanzania kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 1. Dar es Salaam: 32,219 2. Arusha: 7,180 3. Tanga: 4,282 4. Kilimanjaro: 3,540 5. Mwanza: 2,481
Mwanza bado sana hakuna lolote zaidi ya ziwa ,watu wanachapwa hadi na Kilimanjaro kwenye maghorofa iyo ni jiji ama glorified village..?
 
Back
Top Bottom