KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
At kilwa na bagamoyo wazungu hutengeneza documentary au hujui maana wanashangaa hayo mapagale hivo na Arusha zile nyumba za akina majanaba lazima mzungu apige pichaWatu wanatengeneza documentary Arusha hawawezi tengeneza vijijini kama mwanza
Jf sio mikutano au mahubir ya dini kuamin bila kuona humu ni fact unaongea na evidance,,without evidance is just a fallacy story elewa ewe PWAGUZI don't realize you degree of stupidityMwanza ni washamba sana, kutwa kupiga picha. Mtazoea lini lakini?
Now at dodoma soon inawatoa nje mrudi namba nne endeleeni kujifariji Kwa kuendeleza ushoga mtaamuka kumepambazukaJiji la kimataifa vs mji wa washamba.
Documentary ya uchafu huo kama wa kibera.Watu wanatengeneza documentary Arusha hawawezi tengeneza vijijini kama mwanza
Unaona huu wa kwenuhttps://youtu.be/g9yPkVFMYqMSijawahi kuona Uzuri WA mwanza
Endelea kutokuona maan hatuhitaji ufike huku mnatuharibia sifa ya Jiji maana wengi wenu mmesongamana huku kjiuzaSijawahi kuona Uzuri WA mwanza
Sijawahi kuona Uzuri WA mwanza
Mwanza ni pakishamba tu, malimbukeni wageni wa maendeleo.Sijawahi kuona Uzuri WA mwanza
Wageni wangewahi kuujenga mji wao na kupata hadhi ya Jiji mapema kabla yenu.Mwa
Mwanza ni pakishamba tu, malimbukeni wageni wa maendeleo.
Unahangaika na bangi mbichi achana naye ππUtakuwa na akili kweli wewe nani mshamba wa maendeleo hapo
Na watu wa Mwanza wakiacha kusema Arusha ni wavuta bangi na unga ni kipi wamewazidi Arusha [emoji275]Kwani watu wa Arusha mkiacha kusema Mwanza ni Washamba... kuna kingine kipi mmewazidi Mwanza β»
Waliupata kisiasa mpaka BBC mwaka ule walishangaa imekuwaje mwanza mji usiokuwa na huduma za kimataifa usio na maendeleo ya kiteknolojia ukaitangulia arusha inayowazidi kila kitu. Ndio suala likaja kumbe mwanza yamezaana zaana hovyo yapo mengi bila mpango. Kigezo ndio hiko, kuzaazaaWageni wangewahi kuujenga mji wao na kupata hadhi ya Jiji mapema kabla yenu.
Mawe na ziwa β»Na watu wa Mwanza wakiacha kusema Arusha ni wavuta bangi na unga ni kipi wamewazidi Arusha [emoji275]
Lete evidance hapa sio kanisani kihubir Kwa Imani bila kuona,,najua ew ni lesbian hivo umelowa ad ubongo,, ukiwa timamu huwez andika habar bila ushahid hii ni story TU πππWaliupata kisiasa mpaka BBC mwaka ule walishangaa imekuwaje mwanza mji usiokuwa na huduma za kimataifa usio na maendeleo ya kiteknolojia ukaitangulia arusha inayowazidi kila kitu. Ndio suala likaja kumbe mwanza yamezaana zaana hovyo yapo mengi bila mpango. Kigezo ndio hiko, kuzaazaa
BBC ndo anatoa kibali Cha mji kuwa Jiji. Jitathimini basi. Akili ya kubishana unayo kweli au unaropoka tu. What is BBC by the way?Waliupata kisiasa mpaka BBC mwaka ule walishangaa imekuwaje mwanza mji usiokuwa na huduma za kimataifa usio na maendeleo ya kiteknolojia ukaitangulia arusha inayowazidi kila kitu. Ndio suala likaja kumbe mwanza yamezaana zaana hovyo yapo mengi bila mpango. Kigezo ndio hiko, kuzaazaa
Jiji mwanza imepewa 2000 kipind hjazaliwa lakin Arusha mmpewa 2010 rasimi,, pia mwanza Ina contain ilemela,nyamagana na Kwa Sasa imechukua magu na misungwi Sasa utalinganisha na mji Kam Arusha imegawanyika mjini na kijijini yaan Arusha mjini na Arusha kijijini?Waliupata kisiasa mpaka BBC mwaka ule walishangaa imekuwaje mwanza mji usiokuwa na huduma za kimataifa usio na maendeleo ya kiteknolojia ukaitangulia arusha inayowazidi kila kitu. Ndio suala likaja kumbe mwanza yamezaana zaana hovyo yapo mengi bila mpango. Kigezo ndio hiko, kuzaazaa
Nyie nyie na mbwe mbwe zenu mnajitengenezea kurasa na kuzileta humu. Huu mchezo tunaujua.Hahah Yani Hadi watu wanaelewa Chugamaica namna ilivoView attachment 2587968