Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hii battle naipenda sana kwa sababu hizi mbili..
1.kwa asili kila mtu anapapenda kwao pawe kijijini au mjini.
2.Tamaduni za maeneo tofauti hazifanani unachokiona cha kijanja wenzio wanakiona cha ushamba...
Ubishani na utani ni mzuri kwani kuna ukweli ndani yake mtu anaweza kujifunza.
Hii inaonyesha dhahiri hakuna jamii ni superior dhidi ya mwenzio hata imzidi kwa kitu fulani ila kila jamii ipo kamili katika kuishi kwao kuanzia kuongea ,mavazi, tabia na mengineyo..