KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
At kilwa na bagamoyo wazungu hutengeneza documentary au hujui maana wanashangaa hayo mapagale hivo na Arusha zile nyumba za akina majanaba lazima mzungu apige pichaWatu wanatengeneza documentary Arusha hawawezi tengeneza vijijini kama mwanza
Kuna mzungu rafiki angu wa kike alikuwa ananiambia kuwa kabla hajaja afrika aliambiwa hakna nyumba za maana tunaishi maporini na akipata wasiwasi kuwa ataishi wapi akifka lakin alipofika akashangaa kuona maisha Yako poa TU,,hivo at watalii wanaopiga picha hayo mapagale ya Arusha wanaenda hko ulaya,au Asia kuwambia waaafrika wanalala kwenye
Jf sio mikutano au mahubir ya dini kuamin bila kuona humu ni fact unaongea na evidance,,without evidance is just a fallacy story elewa ewe PWAGUZI don't realize you degree of stupidityMwanza ni washamba sana, kutwa kupiga picha. Mtazoea lini lakini?