Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

H
Kama mji mzima una pop ya 6k na promo ya utalii je mwanza wakikamilisha airport watalii wapungue kule si itabaki na watu 2k πŸ˜‚πŸ˜‚

Pia hii ni dhahir kuwa Arusha fursa hamna kabisa,,wamasai KAZI kuchunga mifugo na kuiba
Watu hukimbilia penye fursa acha waendelee kujiita wajanja watakuja kuambulia manyoya
 
Na mwsh wa siku pamoja na hayo mwanza itazidiwa na Dar tu Geographical location ya mwanza inaibeba sana ndo maana serikali wanagoma kuboresha uwanja wa mwanza wa ndege Kwan wanajua Kwa kufanya hvy Kuna mkoa utapelekwa makumbusho
 
Iko wazi hyo ni centre of EA
 
Sasa waboreshe wakati wanaona hamna Cha maana
 
Huoni Arusha mwishowe itabaki pori la wataliii,,at mbeya soon inafunguka na itawaacha mbali sana
 
Huoni Arusha mwishowe itabaki pori la wataliii,,at mbeya soon inafunguka na itawaacha mbali sana e
 
Iko wazi hyo ni centre of EA

Huoni Arusha mwishowe itabaki pori la wataliii,,at mbeya soon inafunguka na itawaacha mbali sana
Kila mwaka inafunguka?! Jiwe amekufa huku kaskazin mambo yamerudi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] miaka hii mtaita maji mma
 
Sasa hyo ni kufunguka boss? Si Toka enzi EA ipo Arusha lakin mji umedumaa ebu jiulze nguvu ya serikali kubwa mno hko lakin hamtembei je hyo nguvu ingewekagwa mwanza unadhan hat hyo dar angeona ndani?

Hay now list ya majiji imechange

1:;Dar
2;;Mz
3;;Dom
4;;Arsh
5;;Mby

Tahadhali soon baada ya huu mwaka kuisha Amin Arusha inapigwa chini na mbeya maan wako wanataka kata baadhi ziingie Jiji
 
Mtajifariji na bangi ila Dom imewapiga chini na zitawatoka bang 2032 pale mbeya itawapiga chini,,

Fani yenu watu wa Arusha ni kuuza ugolo na kuula, utapeli,unga, na bangi Zaid na kunywa mbege
 
Brother mbona unalazimisha Sanaa ...kama unahitaji fungua thread ya Arusha vs Dom then twende ...Hapa ni thread ya Arusha vs Mwanza ...baada ya dodoma kuwato nishai mwanza unaona umeshindwa unarudi Arusha
 
Kwan hujaona orodha boss au umelewa tutume tena

Brother mbona unalazimisha Sanaa ...kama unahitaji fungua thread ya Arusha vs Dom then twende ...Hapa ni thread ya Arusha vs Mwanza ...baada ya dodoma kuwato nishai mwanza unaona umeshindwa unarudi Arusha
Wenge sasa hili, nyie mmepengeshwa kamasi na Dom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…