Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Usihangaike now hatuwez shindana na Jiji la nne tunajishushia hadhi yetu Wana lake zone.Huyo Arusha ashindane na Tanga
 
Bangi mbaya sana Arusha utaskia wanakaza fuvu na wametanguliza komwe mbele sisi tuna five star wanasahau at Serengeti,morogoro zipo
 
Huu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.

Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukichukua nyumba za ilemela zinajaza arusha nzima + dodoma city

Isamilo
Kirumba
Bwiru
Pansiasi
Kiloleni
Kitangiri
Monarch
Minazi mitatu
Buswelu
Ghana
Furahisha
Nyamanoro
Kangae
Mecco
National
Nyamhongolo
Kakebe
Sabasaba
Kiseke
Ibanda
Jiwe kuu
Mihama
Forest
Kilimahewa
Mwaloni
Nera
Wilayani
Iloganzara
Ilemela
Mahakama
Ppf
Tunza
Kanisani
Airport
Maduka tisa
River side
Nyasaka
Kahama
Gedeli
Magomeni
Mji mwema
Ibanda
Mipango
Nyambiti
Darajani
Nyashana
Nyanda
Nyamuge
Kiloleni
Tanzanite
Jiwe Maria
Ilalila
Seremala
Nsumba
Tabasamu nk

Hivi wewe jamaa umewahi fika mwanza?
 
Shibula
Kayenze

Hiv dodoma unaiona kwenye tbc aridhio sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... dodoma ambayo ukienda 10 km unakutana na jangwa la vichaka...unasema imextend Hadi chamwino,,,ya nyoko au ....kama tu hombolo ,na ihumwa ni maporini ziko within 15 km .. itakuwa chamwino ikulu ..ach no sense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polen DODOMA rasimi Jiji la tatu Tanzania RMARUSHA imeshika ad namba nne,,,jiangalien now tnakahama siku ikitangazwa kuwa Jiji lazima iwaache maana ni mji wa biashara ule
Kuzaazaa hovyo nayo sifa? Hakuna kitu mmeizidi Arusha zaidi ya kuzaazaa hovyo
 
Wivu [emoji12][emoji28]...wingi wa watu ni kivutio Cha wawekezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabora sindo mkoa wa 3 Kwa ukubwa Tanzania vipi Kuna wawekezaji gani?! Dodoma kwa miaka hi mi 2,3 inajitahidi kuja juu ila sioni future yake badae kama miaka mi 5 mbele sababu hata watu wa serikali makazi yao wengi wamesha hamishia dar baada ya Jiwe kufa
 
Idadi ya watu Iko sparse sana hawajajikusanya kwenye Miji Mikubwa.
 
Watu mnaambiwa mwanza ni jiji kubwa hamuelewi

Ona sasa hivi nikiwaambia huko mbele hizo nyumba zimejengwa ndani ya Miaka 5 mtakubali?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watashangaa kwa nini hatuoni milima
20230410_173335.jpg
 
Hapa tunazungumzia jiji wewe unamzungumzia mkoa ........Kwa ukubwa gan arusha inao.....
Nyie si east Africa capital mbona mmezidiwa na dodoma Kila kitu isipokuwa hotels

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma imetuzidi nini alafu mbona una hamisha mada kama unataka fungua thread ya Arusha vs Dodoma ..lakini thread iliyopo hapa ni ya Arusha vs Mwanza
 
Back
Top Bottom