KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Usihangaike now hatuwez shindana na Jiji la nne tunajishushia hadhi yetu Wana lake zone.Huyo Arusha ashindane na Tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukichukua nyumba za ilemela zinajaza arusha nzima + dodoma cityHuu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.
Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukichukua nyumba za ilemela zinajaza arusha nzima + dodoma city
Isamilo
Kirumba
Bwiru
Pansiasi
Kiloleni
Kitangiri
Monarch
Minazi mitatu
Buswelu
Ghana
Furahisha
Nyamanoro
Kangae
Mecco
National
Nyamhongolo
Kakebe
Sabasaba
Kiseke
Ibanda
Jiwe kuu
Mihama
Forest
Kilimahewa
Mwaloni
Nera
Wilayani
Iloganzara
Ilemela
Mahakama
Ppf
Tunza
Kanisani
Airport
Maduka tisa
River side
Nyasaka
Kahama
Gedeli
Magomeni
Mji mwema
Ibanda
Mipango
Nyambiti
Darajani
Nyashana
Nyanda
Nyamuge
Kiloleni
Tanzanite
Jiwe Maria
Ilalila
Seremala
Nsumba
Tabasamu nk
Hivi wewe jamaa umewahi fika mwanza?
Ebu leta takwimu za kisongo na USA river tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arusha mipaka yake imefinywa sana ila ukichukua kisongo,USA River ni zaidi ya 700k View attachment 2590542
Hiv dodoma unaiona kwenye tbc aridhio sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... dodoma ambayo ukienda 10 km unakutana na jangwa la vichaka...unasema imextend Hadi chamwino,,,ya nyoko au ....kama tu hombolo ,na ihumwa ni maporini ziko within 15 km .. itakuwa chamwino ikulu ..ach no senseHuu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.
Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
Kuzaazaa hovyo nayo sifa? Hakuna kitu mmeizidi Arusha zaidi ya kuzaazaa hovyoPolen DODOMA rasimi Jiji la tatu Tanzania RMARUSHA imeshika ad namba nne,,,jiangalien now tnakahama siku ikitangazwa kuwa Jiji lazima iwaache maana ni mji wa biashara ule
Sasa wingi wa watu ndo maendeleo?!Takwimu za sensa 2022 kutoka NBS wewe acha mbwembwe
Mipango mikakati ya kuweka USA ipo na USA RIVER hiyo ujue ni wilaya nyingine Arusha ni kubwa jamani bara bara za kupitika kila KonaArusha mipaka yake imefinywa sana ila ukichukua kisongo,USA River ni zaidi ya 700k View attachment 2590542
Wivu [emoji12][emoji28]...wingi wa watu ni kivutio Cha wawekezajiSasa wingi wa watu ndo maendeleo?!
Ni kubwa ukilinganisha na tangaMipango mikakati ya kuweka USA ipo na USA RIVER hiyo ujue ni wilaya nyingine Arusha ni kubwa jamani bara bara za kupitika kila Kona
Tabora sindo mkoa wa 3 Kwa ukubwa Tanzania vipi Kuna wawekezaji gani?! Dodoma kwa miaka hi mi 2,3 inajitahidi kuja juu ila sioni future yake badae kama miaka mi 5 mbele sababu hata watu wa serikali makazi yao wengi wamesha hamishia dar baada ya Jiwe kufaWivu [emoji12][emoji28]...wingi wa watu ni kivutio Cha wawekezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mikoa mikubwa 5 tz huwezi iacha Arusha bro ni kubwa mno ...
Hapa tunazungumzia jiji wewe unamzungumzia mkoa ........Kwa ukubwa gan arusha inao.....Katika mikoa mikubwa 5 tz huwezi iacha Arusha bro ni kubwa mno ...
Idadi ya watu Iko sparse sana hawajajikusanya kwenye Miji Mikubwa.Tabora sindo mkoa wa 3 Kwa ukubwa Tanzania vipi Kuna wawekezaji gani?! Dodoma kwa miaka hi mi 2,3 inajitahidi kuja juu ila sioni future yake badae kama miaka mi 5 mbele sababu hata watu wa serikali makazi yao wengi wamesha hamishia dar baada ya Jiwe kufa
Dodoma imetuzidi nini alafu mbona una hamisha mada kama unataka fungua thread ya Arusha vs Dodoma ..lakini thread iliyopo hapa ni ya Arusha vs MwanzaHapa tunazungumzia jiji wewe unamzungumzia mkoa ........Kwa ukubwa gan arusha inao.....
Nyie si east Africa capital mbona mmezidiwa na dodoma Kila kitu isipokuwa hotels
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha bro pia idadi ya watu ni kubwa mno ...nimemuambia uyo jamaa amesema wingi wawatu unavutia wawekezaji ndo nimemjibuIdadi ya watu Iko sparse sana hawajajikusanya kwenye Miji Mikubwa.
Sasa hiki ni nini ? Ushanza poteana maboyaWatu mnaambiwa mwanza ni jiji kubwa hamuelewi
Ona sasa hivi nikiwaambia huko mbele hizo nyumba zimejengwa ndani ya Miaka 5 mtakubali?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watashangaa kwa nini hatuoni milimaView attachment 2590809