KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Halafu nilisahau kumjibu Hilo hyo Mathias ni HR na sio mmilikiMtu akiwa HR tayari ni mmiliki na sasa katolewa kuna mkenya haya Gold crest ni ya wakenya.
Hao ni watu wanaoishi sokoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nahisi JF inapunguza quality...ila angalia Hapo Sokon 1 inawakazi wangapView attachment 2593434
Mitaaa inapoishi pisi yamgu namba 21[emoji1]View attachment 2594368
Mitaa flani jijini mwanzaView attachment 2594329
MotoMitaaa inapoishi pisi yamgu namba 21[emoji1]View attachment 2594368
Jomba una bonge la kameraMitaa flani jijini mwanzaView attachment 2594329
Mbali sana mkuuSo amazing hapo ni Zaid ya km 25 kutoka town
Camera yangu wanaijua sana pro arusha[emoji1787][emoji1787]Jomba una bonge la kamera
Google pixel hii?
Usiwaze boss zinakuja
Hapana ni SamsungGoogle pixel hii?
Af Kuna mtu humu anaifananisha ilemela na ARusha DC[emoji1787][emoji1787]Mitaa flani jijini mwanzaView attachment 2594329
Hii ni nyasaka au busweluMitaaa inapoishi pisi yamgu namba 21[emoji1]View attachment 2594368
Kuna nn?Busan 😁😁🤣🤣🤣🤣
Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko
Naomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani. Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha...www.jamiiforums.com