Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Otile brown alikuwa mwana sana sana akazamia KenyaPia tumemtoa otile brown
Ilo jengo la posta ndio litapunguza nyumba za tembe pale ungalimited, ngarenaro na makazi duni mengine kama hayo, kilichopo ni kupanga mikakati na sisi majiji yetu yapendeze tuwe yawe kama majiji ya jirani yetu hapo Kenya.Waarusha wamekimbia uzi baada ya kugundua mazungumzo ya Ilemela na Nyamagana ni ya pesa ndefu. Arusha msiwe wanyonge na nyie njoo na jengo la posta inayojengwa pale Philips
Rushwa na ufisadi umetamalaki.Nyamagana wanahujumu sana ebu fikiria Hela ilitolewag kukarabati soko la mtumba la MLANGO MMOJA lakin mpaka Leo hamna ad mayor katembelea kakuta hamna kitu akaghazabika sana Kwa kweli ni bas tu nazan angekuwa na mamlaka Zaid angetumbua raia
Otile brown alikuwa mwana sana sana akazamia Kenya
Mwana ameshatoboa, ngoja tuendelee kupambania jiji letu la Mwanza.Otile katugaya kabisa aiseee baada ya kupata pis za nairobi
Kwan tactics inajengwa wapi nyie au hujaisoma procurement notice .. barabara ya kutoka igoma kupitia kishiri kwenda buhongwaInawakazi 64000+ na hakuna hata barabara ya changarawe, nikae natetea liserikali la namna hii si nitakuwa mpumbavu.
Achana na mambo ya makaratasi siku ukiona wakandarasi wapo site ndio uje useme kwasasa kishiri ni mavumbi na matope pamoja na makorongo na madonde kuinama na kuinuka.Kwan tactics inajengwa wapi nyie au hujaisoma procurement notice .. barabara ya kutoka igoma kupitia kishiri kwenda buhongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie endeleeni kuhangaika tu ...Naongezea Kuna shopping mall kama rock city mall,,kna beach Kali sana kama tunza beach and resort,kiufupi ilemela pakishua mbuge mjanja sana,,kuliko yule anajiita mtoto wa mjini wakati anakaa vumbini
Maneno bila picha ni uongo [emoji116]Naongezea Kuna shopping mall kama rock city mall,,kna beach Kali sana kama tunza beach and resort,kiufupi ilemela pakishua mbuge mjanja sana,,kuliko yule anajiita mtoto wa mjini wakati anakaa vumbini
Hatugombanii fito huku tnajenga nyumba moja ila tunatoa ya moyoni ujenzi uwe poa Kwa kweli uongozi nyamagana ni hewa,,,mwamba ni meya TUNyie endeleeni kuhangaika tu ...
maeneo smart kama isamilo, Capripointn na bugando huwezi yapata ilemela.... buzuruga upande wa plaza na mwananchi , viwanda vikubwa ,chuo kikuu Cha SAUT ,..
Tourist destination kama wag will na jembe beach [emoji3553]..... uzuri wa nyamagana huwezi uona Kwa kutembea Kwa hiace au daladala mjini.... inabidi uexprole Kwa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Kwahyo ligi ya nyamagana na ILEMELA 😂😂Maneno bila picha ni uongo [emoji116]
Nyamagana by night View attachment 2596237
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu mnapenda kuidharau nyamagana...lakin katika wilaya iliyofanya mambo mengi ndani ya muda mfupi ni nyamagana.......... topography yake ndio inamfanya mambo yaliyofanyika yasionekane harakaHatugombanii fito huku tnajenga nyumba moja ila tunatoa ya moyoni ujenzi uwe poa Kwa kweli uongozi nyamagana ni hewa,,,mwamba ni meya TU
Isamilo nampa Nyasaka, Capripoint naipa Bwiru na bugando naipa buswelu.Nyie endeleeni kuhangaika tu ...
maeneo smart kama isamilo, Capripointn na bugando huwezi yapata ilemela.... buzuruga upande wa plaza na mwananchi , viwanda vikubwa ,chuo kikuu Cha SAUT ,..
Tourist destination kama wag will na jembe beach [emoji3553]..... uzuri wa nyamagana huwezi uona Kwa kutembea Kwa hiace au daladala mjini.... inabidi uexprole Kwa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha wamekimbia Sasa battle imebak Ilemela vs NyamaganaManeno bila picha ni uongo [emoji116]
Nyamagana by night View attachment 2596237
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukipewa barabara ya kenyatta hakika tutatisha sana lakini ndio hivyo ngoja tusubiri bajeti itasemaje.Arusha wamekimbia Sasa battle imebak Ilemela vs Nyamagana
Serious kabisa.. buswelu unaifananisha na bugando...na Yale mavumbi yaliyopo paleIsamilo nampa Nyasaka, Capripoint naipa Bwiru na bugando naipa buswelu.
SAUT naipa DIT
Buzuruga plazza naipa city link.
Jembe beach naipa Kwa Tunza sitaki kuipambanisha na Malaika.
Vumbi gani buswelu, ina four ways kuna round about mbili a.k.a keep left mbili na zote zina lami, na sasa kuna mradi wa tactic buswelu peke yke mpaka sasa mtandao wake wa lami ni 20 km kata moja tu.Serious kabisa.. buswelu unaifananisha na bugando...na Yale mavumbi yaliyopo pale
Sent using Jamii Forums mobile app