Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nyamagana wanahujumu sana ebu fikiria Hela ilitolewag kukarabati soko la mtumba la MLANGO MMOJA lakin mpaka Leo hamna ad mayor katembelea kakuta hamna kitu akaghazabika sana Kwa kweli ni bas tu nazan angekuwa na mamlaka Zaid angetumbua raia
 
Waarusha wamekimbia uzi baada ya kugundua mazungumzo ya Ilemela na Nyamagana ni ya pesa ndefu. Arusha msiwe wanyonge na nyie njoo na jengo la posta inayojengwa pale Philips
Ilo jengo la posta ndio litapunguza nyumba za tembe pale ungalimited, ngarenaro na makazi duni mengine kama hayo, kilichopo ni kupanga mikakati na sisi majiji yetu yapendeze tuwe yawe kama majiji ya jirani yetu hapo Kenya.
 
Nyamagana wanahujumu sana ebu fikiria Hela ilitolewag kukarabati soko la mtumba la MLANGO MMOJA lakin mpaka Leo hamna ad mayor katembelea kakuta hamna kitu akaghazabika sana Kwa kweli ni bas tu nazan angekuwa na mamlaka Zaid angetumbua raia
Rushwa na ufisadi umetamalaki.
 
Kwan tactics inajengwa wapi nyie au hujaisoma procurement notice .. barabara ya kutoka igoma kupitia kishiri kwenda buhongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na mambo ya makaratasi siku ukiona wakandarasi wapo site ndio uje useme kwasasa kishiri ni mavumbi na matope pamoja na makorongo na madonde kuinama na kuinuka.
 
Naongezea Kuna shopping mall kama rock city mall,,kna beach Kali sana kama tunza beach and resort,kiufupi ilemela pakishua mbuge mjanja sana,,kuliko yule anajiita mtoto wa mjini wakati anakaa vumbini
Nyie endeleeni kuhangaika tu ...
maeneo smart kama isamilo, Capripointn na bugando huwezi yapata ilemela.... buzuruga upande wa plaza na mwananchi , viwanda vikubwa ,chuo kikuu Cha SAUT ,..
Tourist destination kama wag will na jembe beach [emoji3553]..... uzuri wa nyamagana huwezi uona Kwa kutembea Kwa hiace au daladala mjini.... inabidi uexprole Kwa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatugombanii fito huku tnajenga nyumba moja ila tunatoa ya moyoni ujenzi uwe poa Kwa kweli uongozi nyamagana ni hewa,,,mwamba ni meya TU
 
Hatugombanii fito huku tnajenga nyumba moja ila tunatoa ya moyoni ujenzi uwe poa Kwa kweli uongozi nyamagana ni hewa,,,mwamba ni meya TU
Tatizo watu mnapenda kuidharau nyamagana...lakin katika wilaya iliyofanya mambo mengi ndani ya muda mfupi ni nyamagana.......... topography yake ndio inamfanya mambo yaliyofanyika yasionekane haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isamilo nampa Nyasaka, Capripoint naipa Bwiru na bugando naipa buswelu.
SAUT naipa DIT
Buzuruga plazza naipa city link.
Jembe beach naipa Kwa Tunza sitaki kuipambanisha na Malaika.
 
Isamilo nampa Nyasaka, Capripoint naipa Bwiru na bugando naipa buswelu.
SAUT naipa DIT
Buzuruga plazza naipa city link.
Jembe beach naipa Kwa Tunza sitaki kuipambanisha na Malaika.
Serious kabisa.. buswelu unaifananisha na bugando...na Yale mavumbi yaliyopo pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serious kabisa.. buswelu unaifananisha na bugando...na Yale mavumbi yaliyopo pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Vumbi gani buswelu, ina four ways kuna round about mbili a.k.a keep left mbili na zote zina lami, na sasa kuna mradi wa tactic buswelu peke yke mpaka sasa mtandao wake wa lami ni 20 km kata moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…