KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Mtaa gan Hilo boss
Ndo la nshomile pale Ghana auNikusaidie
Project: proposed commercial building to be built at kirumba area ilemela municipality.
Client:rajim group Ltd dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Gorofa 2 ndio unalingia? π€£π€£Nikusaidie
Project: proposed commercial building to be built at kirumba area ilemela municipality.
Client:rajim group Ltd dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh konk master...kumbe kule kwenye platform yetu haupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo la nshomile pale Ghana au
Wapi limeandikwa ghorofa 2Gorofa 2 ndio unalingia? [emoji1787][emoji1787]
Busan Ule mji nina ndoto zakwenda huko vacations and HolidaysIlemela kama Angelina akipita tena baada ya miaka kumi ilemela itakuwa ni busan
Sema sio wastarabu utu ziro kabisa unaweza chinjwa wizout reasonπππBusan Ule mji nina ndoto zakwenda huko vacations and Holidays
Sawa nalipata pale frahisha,, no nipo boss tupo pamoja mno huku tulikuwa tunajiburudisha TU SI unajua sie magiant πππOh konk master...kumbe kule kwenye platform yetu haupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili lingine jiran na rock city mall
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepat render yake itme kule wasap g
Mimi kwa Mikoa ya mwanza , Arusha,mbeya na Tanga kwanza sihitaji miradi au vitu vikubwa kwanza ...Nachohitaji Cha kwanza ni ifanyiwe marekebisho kama barabara za lami ziwe vizuri ,ijengwe mitaro ya kupitisha lami vizuri ,wapunguze ujenzi kiholela ,miji iwe katika hali ya usafi then hayo mengine yafuateKONK MASTER Haha unaona mambo hayoView attachment 2596956
Unajua natolea mfano unaweza Jenga jumba kubwa lisivutie ,ila unaweza Jenga kajumba Kako kadogo ukakapangilia vizuri kuanzia ramani ,bustani ,rangi n.k ikawa kivutio Cha watu wengi ikiwemo hata hao wenye majumba makubwaMimi kwa Mikoa ya mwanza , Arusha,mbeya na Tanga kwanza sihitaji miradi au vitu vikubwa kwanza ...Nachohitaji Cha kwanza ni ifanyiwe marekebisho kama barabara za lami ziwe vizuri ,ijengwe mitaro ya kupitisha lami vizuri ,wapunguze ujenzi kiholela ,miji iwe katika hali ya usafi then hayo mengine yafuate
Ndo unataka kumaanisha niniUnajua natolea mfano unaweza Jenga jumba kubwa lisivutie ,ila unaweza Jenga kajumba Kako kadogo ukakapangilia vizuri kuanzia ramani ,bustani ,rangi n.k ikawa kivutio Cha watu wengi ikiwemo hata hao wenye majumba makubwa
Kwahiyo hao watalii watenda arusha peke yake?Mwanza fungate imekwisha tunaanza kuwatandika.
Hawa Mawakala.Wametua KIA.
Tanzania hii Hotel ziko Arusha,Zanzyna Dar ,Mwanza hamtamuona hata mmja ππKwahiyo hao watalii watenda arusha peke yake?
Dar kuna utalii gani? Acha kuchekesha watuTanzania hii Hotel ziko Arusha,Zanzyna Dar ,Mwanza hamtamuona hata mmja ππ
Mbeya kumbe ina vilabu vya gongo.Tanzania hii Hotel ziko Arusha,Zanzyna Dar ,Mwanza hamtamuona hata mmja ππ
Yaani unajikuta nani kwa mfano.Tanzania hii Hotel ziko Arusha,Zanzyna Dar ,Mwanza hamtamuona hata mmja ππ