Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

KONK MASTER Haha unaona mambo hayo
Screenshot_20230423-082435.jpg
 
Mimi kwa Mikoa ya mwanza , Arusha,mbeya na Tanga kwanza sihitaji miradi au vitu vikubwa kwanza ...Nachohitaji Cha kwanza ni ifanyiwe marekebisho kama barabara za lami ziwe vizuri ,ijengwe mitaro ya kupitisha lami vizuri ,wapunguze ujenzi kiholela ,miji iwe katika hali ya usafi then hayo mengine yafuate
 
Unajua natolea mfano unaweza Jenga jumba kubwa lisivutie ,ila unaweza Jenga kajumba Kako kadogo ukakapangilia vizuri kuanzia ramani ,bustani ,rangi n.k ikawa kivutio Cha watu wengi ikiwemo hata hao wenye majumba makubwa
 
Back
Top Bottom