ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Umewageuka tena watu wa arusha wazee wa mererani.
Mereran sio Arusha ni mAnyara HIVO hawana mgodiUmewageuka tena watu wa arusha wazee wa mererani.
Una edit sanaKuna watu watasema hapa ni Sao Paulo..[emoji116]View attachment 2603969
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zuriKitu Kimesimama ichoooView attachment 2604750
Iyo itakuw Sasaivi ni kam Icon mpya ya chuga townNi zuri
Mall imejaa frame [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]New Mall Called Arusha Mall Mikdde Leo nimepata wasaa wakutembea kidog asubh ...kwakuwa ulikuw ukibisha kuwa Hamna mall mpya Basi hili hapa nimekuletea View attachment 2605863View attachment 2605864View attachment 2605865
Safi sana sema hizo fremu zinaleta picha mbayaNew Mall Called Arusha Mall Mikdde Leo nimepata wasaa wakutembea kidog asubh ...kwakuwa ulikuw ukibisha kuwa Hamna mall mpya Basi hili hapa nimekuletea View attachment 2605863View attachment 2605864View attachment 2605865
Sasa frame si kwajili ya pesa ya ziada boss..biashara inahitaji akili
Kabis ila mi nimeona ni kwajili ya pesa ya ziada, ujue kupanga Majengo ya ghali ni gaharam mno mwisho wasiku jengo likose watejaSafi sana sema hizo fremu zinaleta picha mbaya
Wangeziwekea milango kwa ndani, sio nje hivyoKabis ila mi nimeona ni kwajili ya pesa ya ziada, ujue kupanga Majengo ya ghali ni gaharam mno mwisho wasiku jengo likose wateja
Hapo ni karibu na bara bara ndo manaWangeziwekea milango kwa ndani, sio nje hivyo
Hyo ni mall jina ..hamna kitu ... sion parking.. standard za mall sizioni ...hyo iwe plaza tuHapo ni karibu na bara bara ndo mana